Mamba mweusi
Member
- Jan 13, 2023
- 60
- 94
Ni kwa sababu kipindi cha Magufuri Serikali ilkuwa makini kwenye mambo si rahisi kupata nafasi ya kuikosoa, zaidi ulikuwa ni ule wimbo tuliuzoea kwa wapinzani ETI "Demokrasia" hahahaKipindi cha Magufuli huyo Mwakubusi sasa hivi angekuwa hafahamiki alipo