Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee [emoji23]Ambae yuko forex ya TMT ndiyo mkali zaidi!
miss you churaAmbae yuko forex ya TMT ndiyo mkali zaidi!
Nimeweka tangazo la mwanadada wa kazi za ndani kule kwenye jukwaa la matangazo sifa awe na chura, nisaidie kuwaambia wenzako walipitie please!miss you chura
Unamaanisha TMT ya Jangid Plaza au ya Mayweather??Ambae yuko forex ya TMT ndiyo mkali zaidi!
hahahahaha kazi hii mpe mtu fulanNimeweka tangazo la mwanadada wa kazi za ndani kule kwenye jukwaa la matangazo sifa awe na chura, nisaidie kuwaambia wenzako walipitie please!
Nani huyo shangazi?hahahahaha kazi hii mpe mtu fulan
Mimi napenda kumsoma Humble African yuko genuine mno akiandika Bold anajua ila anacopy mno kazi zake kutoka sehemu. Hiyo ndo tofauti yao.Kwa mtazamo wako mwana jf katika hao manyalali tajwa hapo juu nani mkali kwenye uandishi naomba nisiwe na upande tiririka mwenyewe
Nlichotaka Kuandika,ila pia tusipende kuwalinganisha tuwape moyo na motisha,its not healthy kuwalinganisha banaMimi napenda kumsoma Humble African yuko genuine mno akiandika Bold anajua ila anacopy mno kazi zake kutoka sehemu. Hiyo ndo tofauti yao.