Humble African vs The bold

Humble African vs The bold

Kuna vitu vingi sana mnaweza kumnyang'anya bold Lakini hamuwezi kuondoa ukweli kwamba bold ni miongoni mwa waandishi wazuri kuwahi kuandika hapa JF.

Unajua wazungu huwa wanaamini kwamba bahati inatokea pindi maandalizi yanapokutana na nafasi yaani "lucky happens when preparation meets opportunity" hivyo bahati tafsiri yake ni maandalizi sahihi yanapokutana na fursa... Sasa bold ili bahati yake ikamilike ni sharti akutane na nafasi sahihi maana kama ni maandalizi anayo ya kutosha sana...!

Bold ana mshumaa ila anauwashia chini ya Meza... Ila siku akijipekecha kimkakati na kuwafikia watu wake wengi anaweza kupunguza ukali wa maisha kwa kalamu yake kama Shigongo vile.

Declaration Mimi ni casual and amateur writer tu ila bold anaqualify kuwa professional and rhetoric writer.

Hivyo, habib B. Anga ni mwandishi mzuri kuliko Mimi humble African.

[emoji176]
Nakukubali sana mkuu
 
Back
Top Bottom