Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nlichotaka Kuandika,ila pia tusipende kuwalinganisha tuwape moyo na motisha,its not healthy kuwalinganisha bana
Watanzania U-Team umetuzidi, kuna culture ya kupenda kushushana. Nakumbuka kuna thread niliwahi kuisoma aliandika Eiyer (Huyu kwangu ni mtaalamu wa conspiracies related issues na all issues za secret societies), sasa akaibuka member mmoja na kuanza kuponda kwamba hata aandike vipi hawezi kumfikia The Bold.
Sasa baada ya Threads kadhaa za Humble African kubamba humu, swaga za The Bold zinaibuka hapa.