Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Mtan wangu uyo 🙂 🙂 🙂[emoji16][emoji16][emoji16] naona unamchukua maelezo jamaa. You are one in a milion amu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtan wangu uyo 🙂 🙂 🙂[emoji16][emoji16][emoji16] naona unamchukua maelezo jamaa. You are one in a milion amu.
Lawd have mercy!!! Sio siri hii comment yako imenikosha saana amu.Shoga Humble African ujue ni full package pia,sijui kwa nini wadada wa jf hawamuoni,majibu yake yanaonyesha mtu wa utulivu anajielewa
As humble as your ID.Kuna vitu vingi sana mnaweza kumnyang'anya bold Lakini hamuwezi kuondoa ukweli kwamba bold ni miongoni mwa waandishi wazuri kuwahi kuandika hapa JF.
Unajua wazungu huwa wanaamini kwamba bahati inatokea pindi maandalizi yanapokutana na nafasi yaani "lucky happens when preparation meets opportunity" hivyo bahati tafsiri yake ni maandalizi sahihi yanapokutana na fursa... Sasa bold ili bahati yake ikamilike ni sharti akutane na nafasi sahihi maana kama ni maandalizi anayo ya kutosha sana...!
Bold ana mshumaa ila anauwashia chini ya Meza... Ila siku akijipekecha kimkakati na kuwafikia watu wake wengi anaweza kupunguza ukali wa maisha kwa kalamu yake kama Shigongo vile.
Declaration Mimi ni casual and amateur writer tu ila bold anaqualify kuwa professional and rhetoric writer.
Hivyo, habib B. Anga ni mwandishi mzuri kuliko Mimi humble African.
[emoji176]
sijausoma huo naomba unitag DonAs humble as your ID.
Mimi ni msomaji sana wa story, especially first hand stories achana na copy paste.
Wewe na The Bold kila mmoja ana jinsi yake ya uandishi ambayo huikuti kwa mwenzake.
Andishi lako la Uchumi wa Japan liliniambia kwamba wewe si mwandishi tu bali ni Best Brain kwenye kuoanisha matukio kutengeneza relevance kwenye mazingira husika.
Stay Humble and Hungry.
Una maanisha mnataka kumpa zawadi ya ushindi?Shoga Humble African ujue ni full package pia,sijui kwa nini wadada wa jf hawamuoni,majibu yake yanaonyesha mtu wa utulivu anajielewa
aaaaaaaa sina maaana hiyo mie zawadi yangu ishanyakuliwa lol.mzima lakiniUna maanisha mnataka kumpa zawadi ya ushindi?
Ni kweli ila, copy na wewe kwanza tuone.watu wengine muna wivu wakike!mwenye haki yake mpe acha maneno mengi,ila samahani mkuu.huwezi kuwa mwandishi nzuri bila kukopi ktk maandiko mengine.labda kama unaandika riwayaMimi napenda kumsoma Humble African yuko genuine mno akiandika Bold anajua ila anacopy mno kazi zake kutoka sehemu. Hiyo ndo tofauti yao.
Golden comment hii... Najilazimisha kutafuta maandishi sahihi na mazuri ya kureply hii comment yako mkuu nayakosa...! Angle uliyotumia kuangalia lane yangu na mkubwa bold kiuhandishi inathibitisha ukomavu wa kiakili ulionao.As humble as your ID.
Mimi ni msomaji sana wa story, especially first hand stories achana na copy paste.
Wewe na The Bold kila mmoja ana jinsi yake ya uandishi ambayo huikuti kwa mwenzake.
Andishi lako la Uchumi wa Japan liliniambia kwamba wewe si mwandishi tu bali ni Best Brain kwenye kuoanisha matukio kutengeneza relevance kwenye mazingira husika.
Stay Humble and Hungry.
Ajabu ule Uzi niliuandika nikiwa pub naangalia mpira, I was bored!... Its amazing Don anasema aliufurahia na kujifunza kitu muhimu ilhali Mimi niliuona kama bado mediocre na haukidhi viwango kukaa jukwaa la siasa regarding kule Kuna watu manguli kama Pascal mayalla e.t.c nilifurahi maana ndio Uzi wangu wa kwanza kupatiwa "likes" na brother Max Mello though. Lovely!nitag uzi wa Japan nikausome mda huu
Hua anacopy wapi mkuu?Mimi napenda kumsoma Humble African yuko genuine mno akiandika Bold anajua ila anacopy mno kazi zake kutoka sehemu. Hiyo ndo tofauti yao.
Unajua Wabongo tuko so selfish kiasi MTU anaweza kumzibia mwenzake hata kama uwepo wa huyu hauathiri wa mwingine, kuna kukatishana tamaa ili ionekane wewe si kitu isipokuwa fulani.Hua anacopy wapi mkuu?
Ahsante humble naelekea huko unaona uzuri wa kusoma HKL yaani uko bored unashuka nondo tena Bar,amini Don yuko vizuri sana kichwani mpaka amekuja kuappreciate hapa na mkubwa Mx kalike wewe ni balaa.Ajabu ule Uzi niliuandika nikiwa pub naangalia mpira, I was bored!... Its amazing Don anasema aliufurahia na kujifunza kitu muhimu ilhali Mimi niliuona kama bado mediocre na haukidhi viwango kukaa jukwaa la siasa regarding kule Kuna watu manguli kama Pascal mayalla e.t.c nilifurahi maana ndio Uzi wangu wa kwanza kupatiwa "likes" na brother Max Mello though. Lovely!
Huu hapa Karibu Japan economic miracle: Funzo kwa Rais Magufuli juu ya hatma ya Tanzania
Enjoy!
Mzima, niliwaza kama hiyo ndo zawadi mwenyewe niingie chimbo nianze kushusha vitu.aaaaaaaa sina maaana hiyo mie zawadi yangu ishanyakuliwa lol.mzima lakini
Halafu wewe!Ahsante humble naelekea huko unaona uzuri wa kusoma HKL yaani uko bored unashuka nondo tena Bar,amini Don yuko vizuri sana kichwani mpaka amekuja kuappreciate hapa na mkubwa Mx kalike wewe ni balaa.