Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mwandishi Sammy Awami amejitahidi kwa kiwango kikubwa kuuliza maswali ya msingi sana lakini Humphrey Polepole amebisha vikali juu ya ukiukwaji mkubwa wa demokrasia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaa, mkuu Mayalla...Tumsifu Yesu Kristi..?Hawa ndio waandishi...
P
Hawa ndio waandishi...na hiki ndio chombo cha habari.
P
Mkuu kwa ukongwe ulioa nao kwani waandishi wa hapa kwetu mnakwama wap? Yaani maswali ya msingi kama haya hadi wa bbc wawaulizie?Hawa ndio waandishi...na hiki ndio chombo cha habari.
P
Kwanza wamalize ugomvi wao na Bashiru Ally sijui ugomvi wa nnini, wanajenga nyumba moja halafu wana gombania tofali.
Mkuu kwa ukongwe ulioa nao kwani waandishi wa hapa kwetu mnakwama wap? Yaani maswali ya msingi kama haya hadi wa bbc wawaulizie?
Njaa,uoga,kuishi kwa matumaini ya kutegemea uteuzi kama u DC.Mkuu kwa ukongwe ulioa nao kwani waandishi wa hapa kwetu mnakwama wap? Yaani maswali ya msingi kama haya hadi wa bbc wawaulizie?
Huyu ni wa Lumumba tu yule wa katiba mpya alikufa baada ya kuteuliwa kuwa boss wa kijaniPolepoleeeeeee ni wewe yule wa katiba mpya au ni mtoto wake
Sure!Hawa ndio waandishi...na hiki ndio chombo cha habari.
P