Humphrey Polepole abishana Vikali na Waandishi wa BBC kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Humphrey Polepole abishana Vikali na Waandishi wa BBC kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mkuu kwa ukongwe ulioa nao kwani waandishi wa hapa kwetu mnakwama wap? Yaani maswali ya msingi kama haya hadi wa bbc wawaulizie?
Mkuu nimecheka, ingawa sio sana. Ukiwa mwandishi maswala ya kupigwa au kupotea ni jambo la kawaida sana ila inataka moyo kuwa mwandishi.
 
Naomba kujua ni nani anaeongoza kitengo cha kuondoa akili za watu huko Lumumba,maana kuna vichaa vichaa Tu kila anasimama kuongea unaona wanafanana kuna yule mwenye bipolar ndio shida kabisa
 
Huyu ni wa Lumumba tu yule wa katiba mpya alikufa baada ya kuteuliwa kuwa boss wa kijani
Mkuu: hakufa ila alifanyiwa hivi!
CCM.png
 
Back
Top Bottom