Humphrey Polepole abishana Vikali na Waandishi wa BBC kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mkuu kwa ukongwe ulioa nao kwani waandishi wa hapa kwetu mnakwama wap? Yaani maswali ya msingi kama haya hadi wa bbc wawaulizie?
Mkuu nimecheka, ingawa sio sana. Ukiwa mwandishi maswala ya kupigwa au kupotea ni jambo la kawaida sana ila inataka moyo kuwa mwandishi.
 
Naomba kujua ni nani anaeongoza kitengo cha kuondoa akili za watu huko Lumumba,maana kuna vichaa vichaa Tu kila anasimama kuongea unaona wanafanana kuna yule mwenye bipolar ndio shida kabisa
 
Hivi hawamsaidii rais wanazidi kumpaka matope internationally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…