Humphrey Polepole aelezea sababu za Kibeberu ya nchi moja kufunga ubalozi

Humphrey Polepole aelezea sababu za Kibeberu ya nchi moja kufunga ubalozi

Hao wameamua kufunga balozi zao kwa kuhofia ugaidi Kama wa Akina Hamza
 
K



"Kusema Polepole katoa shule nzuri sana,narecommend watu kuangalia video yote",kuna utata wa kuelewa???
... hujamwelewa Mkuu; jamaa kaongea "lugha ya kinyume". Msimamo wake humu uko wazi; hanaga longolongo na makada pumbavu wa kijani.
 
Sidhani kama Scandinavian countries ziko kwenye group la mabeberu...hawa jamaa wamekuwa washirika wetu wa maendeleo tangu enzi za Mwalimu.

Polepole na chama chake waangalie walikokosea, hali ikiendelea namna hii basi yajayo ni machungu.
 
Mama akija kushituka,itakuwa imekula kwake.

Mama anaaminishwa Mbowe na CHADEMA ndio maaduii wake, kumbe maadui wake wamo humo humo katika chama chake na serikali yake.
Angejifunza kutoka kwa Joyce Banda...!!
 
Polepole Humphrey kumbe naye anaamini kuwa rasilimali za nchi lazima zilete Maendeleo ya Watu .

Parallel State iliyoongozwa na watu dizaini ya watu kama kina Gwaji , Ole Sabaya , Mayanga Construction company , wateuliwa wa awamu ya 5 ndiyo ilikuwa wanufaika na nafasi yao ya kimkakati ilipotea na walilia sana kulipotokea msiba wa kiongozi aliyekuwa anaendesha serikali na parallel state ya watu 'wasiojulikana' .

Ujenzi wa reli ya SGR usiokuwa na manufaa, wakati reli ya mkoloni ipo ikikarabatiwa sehemu korofi ingefaa na kufanya kazi ya ileile usafirishaji ni mkakati wa parallel state kujinufaisha kwa kutaka kupeleka madini na makinikia pwani ya bahari , mbali ya kuingiza nchi katika hasara kubwa kupitia mradi huu usio na tija ya reli ya SGR genge hili la watu waliokuwa karibu na uongozi walifaidika na wanaendelea kujinufaisha. Polepole anadai kuna kiongozi hivi karibuni amepambana kama Mwalimu Julius Nyerere alivyopambana wakati wake kwa serikali kuhodhi mashirika ya huduma za jamii n.k

Polepole Humphrey anasema asingependa kusema sana kwa sababu yeye pia Humphrey ni bado sehemu ya uongozi.

Nguvu za 'kibeberu' anazosema Polepole ni kwa kuwepo chama cha CCM , utulivu siyo amani, uongozi wa kimabavu n.k pia unawezesha mazingira ya uporaji wa madini, kuwepo mikataba mibovu ya siri, Bunge la uchama kimoja lisilo na meno ya kuhoji serikali, kuhoji mikataba ya madini / SGR reli/ Ndege za cash n.k

Yanayoendelea huko DR Congo, Humphrey Polepole anasema ni sawa na yanayoendelea Tanzania ila katika hali tofauti yaani Congo wanapambana kugombania ulaji kwa kutumia silaha na vita huku Tanzania wanatumia kuunda Bunge la chama kimoja, vitisho kwa kukamata na kusweka watu dani, kukaba demokrasia na kuzuia Maendeleo ya Watu kwa kakikundi kidogo cha wanaCCM kujinufaisha na kujimilikisha keki ya taifa.

Kule nchini Congo Marshal Mobutu Sese Seko alijipendelea akajenga uwanja wa ndege mkubwa kijijini kwake, hotel ya nyota tano kijijini kwake na huku Tanzania kiongozi aliyetamani vyeo vyote vikuu akajenga uwanja wa ndege kijiji kwake Chato na kupeleka mahoteli na majumba mengine ya kifahari ili kuendeleza 'kwake'.

Bado mjamaa huyu Humphrey Polepole ana mawazo ya kusaini mikataba mizuri pekee ndiyo yataivuasha nchi yetu Tanzania katika zama hizi za Mapinduzi ya Viwanda ya Nne (The Fourth Industrial revolution). Hakika ikiwa hatuna mawazo ya kuwa na viwanda vyetu vya Mapinduzi ya Tatu Ya Viwanda tukategemee tu mikataba ya kuchimba rasilimali na kuziacha ziende nje zikageuzwa matrekta, plau na zana zingine za kiufundi (mechanic) ili tuwe na viwanda vyetu vya kugeuza jiwe la Mchuchuma kuwa trekta, vifaa tiba vya vyuma mahospitalini n.k Tanzania haiwezi kamwe kuendelea na kumpatia mazingira ya mTanzania mmoja mmoja kujiletea Maendeleo ya Watu.

Mafano iliyokuwa Urusi Kubwa chini ya Stalin waligundua mikataba haitawazusha hivyo wakaamua huhuisha Mapinduzi ya kilimo kikubwa na Mapinduzi ya Viwanda. Wakajenga kiwanda kikubwa cha matrekta.
Physical planning took on a critical role in the USSR during the fulfillment of the First Five-Year Plan, 1928–1932. To achieve “Socialism in One Country,” foodstuffs and technology had to be generated within Soviet borders, an effort that required intelligent utilization of the vast territories, natural resources, and population of the USSR. Soviet Planning Praxis: From Tractors to Territory

Polepole na CCM wanawaza miharaba ya kuuza madini ghafi na makinikia kupitia mikataba 'mizuri' ndiyo muarobaini wa kuikomboa kiuchumi na kijamii Tanzania.
The ambitious timetable set by the state’s economic planners for the Plan did not allow for a period of internal architectural research and development. Pragmatism, forced by the schedule, led the Supreme Soviet of the National Economy (VSNKh) to Detroit architect Albert Kahn, the designer for Henry Ford. In May 1929, the Soviet government signed a contract with Kahn’s firm to design and oversee construction for a single tractor factory in Stalingrad, one that would produce 40,000 tractors annually. Source : Soviet Planning Praxis: From Tractors to Territory
Wapi mkakati wa CCM kutoa elimu ya kweli uhandisi, kilimo na Umwagiliaji maji ili tuweze kutumia maziwa makuu ya Victoria, Tanganyika, Nyasa pamoja na maziwa madogo ya Singida, Rukwa na mito ya maji mikubwa kuwezesha ukulima mkubwa na pia viwanda vyetu vyenye wahandisi wa kuweza kutengeneza matrekta, mikokoteni na matoroli na pampu za maji ya kilimo cha umwagiliaji. Wapi elimu ya kweli kwa wahandisi waweze kujenga barabara za zege ya cement na nondo zilizozalishwa nchini badala ya lami ya kuagizwa toka nchi zinazozalisha na kusafisha mafuta.

Procrastination/ uvivu wa kutenda na uchovu wa mawazo mapana ya CCM na kubaki kusimulia kuhusu smartphone inavyoweza kupima msukumo wa mbinyo wa damu na kuwa tuna madini tele yenye thamani ambayo hatuwezi hata kutengenezea ndoo ya kutumika kulishia chakula mifugo yetu ni dalili kuwa CCM ipo katika ndoto nzito iliyoletwa na usingizi kuwa sisi ni matajiri bila kuwa na uwezo wa kubadilisha mwamba au jiwe kuwa taruma la reli.

Kharkiv Tractor : Ukraine

 
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu


Hivi Magufuli alikiokota wapi hiki kijamaa......!!

Wakati kana enjoy V-Eighty haka kukumbuka haya yote kanakiyasema sasa.
 
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu


Pathetic! Halafu kuna siku utasikia eti amekua Diplomat
 
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu


Wewe ndiyo huna akili timamu wewe mzee Polepole hujui lolote fala wewe. Watu wamekufa wengi, halafu unabisha hakuna ugonjwa, Kwa hiyo unataka kusema kuwa watu wafe tu hata kama tunauziwa. Wewe kazi yako ni kusoma tu vitabu, huko ndiyo kutafiti? Mpumbavu kweli.
 
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu

Ameongea kama mwanasiasa, wenye akili tumempuuza.
 
Upewe nchi wewe ukaongoze[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sio dhalimu hata nikubali kuongoza Godforsaken land kama Tanzania .
Ccm wanajua nchi imejaa wapumbavu hali hiyo imekuwa advantage kwai, wanaongea LOLOTE na kufanya LOLOTE Hakuna anae jali.
TANZANIA katika ya mikono ya mkoloni ilikuwa salama na yenye dira Mara elfu 1 Kuliko Sasa.
 
Back
Top Bottom