Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,leo unamkana PolePole? Nyie CCM huwa hamkosei,leo imekuwaje?Ameongea kama nani?
Huyu jamaa namuheshimu sanaPole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
Kwa hii clip huyu jamaa ana nondo aisee polepole akitulia ni mtu makini sana natamani kila mmoja aone hili
Kuanzia leo kwa maslahi mapana ya taifa letu namuheshimu polepole sana....huyu jamaa ni kichwa sana....
Sio kweliAnalilia cheo
Kati ya wachina na hao denmark nani hafai.Sio kweli
Hajawahi kutokuwa na chama, hata wakati wa katiba ya Warioba alikuwa CCM huko huko.Ungemjuwa wakati hana chama, enzi za katiba ya Warioba, angekuowa kabisa, nilimzimia sana sana, yaani nikisikia sauti ya Pole naacha shughuli zangu namsikiliza, alipotamka rasmi yeye CCM, dah, kwenye ile ya katiba mpya alobakia nnayemwamini ni Warioba tu aisee!
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
Kwani tumezungumzia wachina au wadernmark nilichozungumzia ni polepole tuKati ya wachina na hao denmark nani hafai.
Mchina kwa nini haitwi beberu wakati mnoko sana nyau
Slow slow anajua wachina wapo
Mkuu tangu CCM iache kugroom viongozi kupitia mifumo rasmi na kuiachia facebook na uvccm iwaandalie viongozi matokeo yake ndiyo haya.Denmark pamoja na nchi za Nordic zimefanya mengi hapa nchini kimaendeleo.
Na hazikuwahi kutawala nchi yoyote kama koloni.
Hivyo kuwaita mabeberu si tu ujinga wa kukosa elimu bali ukosefu wa hekima kiujumla.
Kwa hii clip huyu jamaa ana nondo aisee polepole akitulia ni mtu makini sana natamani kila mmoja aone hili
Kuanzia leo kwa maslahi mapana ya taifa letu namuheshimu polepole sana....huyu jamaa ni kichwa sana....
Ndio ujue hana akili kama unavyofikiri.Kwani tumezungumzia wachina au wadernmark nilichozungumzia ni polepole tu
Sasa mkuu kosa la hp ninini hapo?Mama akija kushituka, itakuwa imekula kwake.
Mama anaaminishwa Mbowe na CHADEMA ndio maaduii wake, kumbe maadui wake wamo humo humo katika chama chake na serikali yake.