Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
bado anasema, hajamaliza, sasa hivi anamlima ChalamilaKasemaje kwani?
🤣🤣🤣bado anasema, hajamaliza, sasa hivi anamlima Chalamila
Ndio namsikiliza hapa jamaa anaongea ukweli yaaniAnasema hii game aliyoamua kuicheza (yeye Polepole), ni high level na anajua kuicheza.....
wahuni wataipoka, wataiteka tutauzwa, asanteni na MUNGU wa Mbinguni awabariki sana....hahahahaa kamalizaSafii, simba anacheza na simba 😅
Sasa ndio kajitoa aongeee UKWELI, angalia na tafakari anachosema, there is no future in the past.Polepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
Ngoja tusubiri visononowahuni wataipoka, wataiteka tutauzwa, asanteni na MUNGU wa Mbinguni awabariki sana....hahahahaa kamaliza