GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
Kwahiyo kama alishawahi kushiriki maoni yako wewe tuendelee kuibiwa. Ubaya ni ubaya tu haijalishi alifanya nini huko nyuma.

Unadhani ni nani ambaye hana dosari ili aweze kusemea uhuni ambao taifa linafanyiwa.

Hongera sana HHP endelea kuwaumbua wahuni.
 
Nyerere alishindana na dola ya Waingereza na akashinda akiwa supported na wananchi,

Dola ya wahuni itaanguka tu lazima.
Nyerere alitaka kuwa Padre,akazuiliwa na askofu mzungu,akaletwa kwenye siasa,akapewa nchi na wazungu baada ya special branch(idara ya mkoloni) kumpenyeza kwenye chama cha waswahili chenye nguvu
 
Back
Top Bottom