GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyerere alitaka kuwa Padre,akazuiliwa na askofu mzungu,akaletwa kwenye siasa,akapewa nchi na wazungu baada ya special branch(idara ya mkoloni) kumpenyeza kwenye chama cha waswahili chenye nguvu
Umenena vyema,

Vivyo hivyo Polepole, Gwajima, Mpina and the like,

Wameshikwa mkono na wanapewa nguvu kufanya regime change.

Ahsannte 🙏
 
link gani inapush vizuri
 
Hawatatoboa trust me...SAMIA kumtoa labda wamuue kama mwendazake.. otherwise mama tunae mpaka 2030
Umenena vyema,

Vivyo hivyo Polepole, Gwajima, Mpina and the like,

Wameshikwa mkono na wanapewa nguvu kufanya regime change.

Ahsannte 🙏
 
Polepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
Mimi naishangaa serikali ,kwa nini inatuletea shida kwenye mitandao kila mara pole pole anapotaka kuongea?
Inaogopa nini?
 
Naona HP anaeleza yale tunayowaambia CCM oyaoya kila siku halafu hawaelewi.

Mifumo imetekwa na wahuni, kuanzia kule tunakokuamini mpaka chini huko, pure Mafia style ala La Cosa nostra.

Hiki kizazi cha 1982 ndio kinachoweza kuliokoa hili Taifa,maana wazee wamejifungia ndani ilihali wanajua kila kitu.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Back
Top Bottom