Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kiuhalisia hili tu la kujaza watoto na Ndugu zao kwenye Ubunge, lilitosha kabisa kuwaamsha Watanzania !!
Wamemkaushia au ni hawana hoja za kumjibuAmewapata wapumbavu wa kumfuatilia, nyumbu wa chadema. CaCM wamemkaushia kimyaaa!!
Hawawezi mana huyu mkali anajua anachofanya amejipanga hata location zake anaoenkana alichukua matukio kabla hajaamza baalaa hivyo anaachia tu kuwavuruga hii ngoma sio nyepesi kama kina Mwashamba na machawa wenzie wanavyoona ni zaidi ya waonavyo wao hawaiwezi kabisaCCM hawana uwezo wa kujibu hizi hoja. Sasa hivi wanachofikiria ni jinsi ya kumfikia physically ili wamalizane naye kijambazi kama ambavyo wamezoea kufanya!
Chalamila kaisha onywa, hiyo league ni ya juu sana .. aka deal na sokoni Mwenge, apishw wakubwa wapasuane.. yeye ipo toto dogo sanahahahahaa Polepole yeye anataka viongozi wakuu wajitokeze tu wamjibu na sio masheikh, maaskofu au akina chalamila, yeye ana watu wake anaowataka.
Nimefurahi sana, kampa na makavu na Chamila, akae mbali.. hiyo sio issue ya kitoto.. Kikwete kachwana Live.. leo kaweka kuni.. lazima pachimbikeHawawezi mana huyu mkali anajua anachofanya amejipanga hata location zake anaoenkana alichukua matukio kabla hajaamza baalaa hivyo anaachia tu kuwavuruga hii ngoma sio nyepesi kama kina Mwashamba na machawa wenzie wanavyoona ni zaidi ya waonavyo wao hawaiwezi kabisa
Polepole, Gwajima & G200+Anasema hii game aliyoamua kuicheza (yeye Polepole), ni high level na anajua kuicheza.....
😆😆😆CCM matumbo joto
Akahsughulike namachinga pale Mwenge bwana balozi dozi zake zamedani akili ndogo huwezi kuelewa anavyosukuma kete zake ukigusa unazama mazimaNimefurahi sana, kampa na makavu na Chamila, akae mbali.. hiyo sio issue ya kitoto.. Kikwete kachwana Live.. leo kaweka kuni.. lazima pachimbike
Too late, kesho ni kura za maoni kwa wabungeametumia dakika 84, kama viongozi wakiendelea kukaa kimya ataongeza nguvu, anataka mchakato wa CHAMA uanze upya, pili, ABOMOE chama akisuke upya, anadai CCM kuna wana mtandao wanakula kote kote...
Balozi amejipanga sana utabiri wa Mwalimh Nyerere ndio unaenda kutimia asante sana TAL na JWH mmekuja kubonyeza button ambayo imefunua mambo mengi sana acha tuagize popcorn zakutosha August inaweza kua historia mpya ya nchiNi Maneno ya Mzalendo Mkweli, mwenye Uthubutu, The Intelligent Mh Polepole , namnukuu 'Samia nakuomba, rekebisha hili jambo before it's too late, Mimi sipendi tufike pahala ambapo itatupeleka kwenye level ambazo zitakiumiza Chama Cha mapinduzi , wakati nafasi ya kutengeneza Iko"
Mwenye Masikio na Asikie !!.
Hadi pale Samia atakapo "tema bungo", muda wake umekwisha na hastahili tena kugombea U-RaisKwa hiyo ataunguruma Hadi lini?