Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Hapapoi hadi october
Hali ni mbaya sanaSasa wanaokosoa hawashughulikiwi tena ??! 😳 🙄 !
Aende hvhv mdogomdogo au sioingekuwa hivyo kusingekuwa na series maana tungechoka kuona wacha aendeleee kama umechoka kaa pembeni tuachie sie
Endelea kufuatilia tu, wakati utaamua mambo.Atatema lini Hilo Bungo?
Huwezi kuhalalisha uovu kwa kuendelea kutenda uovu....tumia hiyo bongo yako vizuri kufikiri.Polepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
Ww mpumbavu mwenzao umejuaje kama wapumbavu wenzio wanamfuatilia kama wewe humfuatilii?....Amewapata wapumbavu wa kumfuatilia, nyumbu wa chadema. CaCM wamemkaushia kimyaaa!!
Al Capone...Naona HP anaeleza yale tunayowaambia CCM oyaoya kila siku halafu hawaelewi.
Mifumo imetekwa na wahuni, kuanzia kule tunakokuamini mpaka chini huko, pure Mafia style ala La Cosa nostra.
Hiki kizazi cha 1982 ndio kinachoweza kuliokoa hili Taifa,maana wazee wamejifungia ndani ilihali wanajua kila kitu.
ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
Achana na huyo mtoto wa kijini .Sasa ndio kajitoa aongeee UKWELI, angalia na tafakari anachosema, there is no future in the past.
Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
Halafu Polepole anaunguruma lkn wahuni wanaendelea na mchakato kama kawaidaKwa hiyo ataunguruma Hadi lini?
Kwa hiyo ataunguruma Hadi lini?
Bado ujamuelewa ni nani hadi sasa hivi? Hata wana ccm wale OYA OYA wanamjua huyu ni mhamiaji ukimsikiliza kwenye hii clip, alikuwa anafanya kazi behind the scene, akiwa na vyeo vikubwa.Huyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Hawezi kuwa rais Tena subiri uoneHawatatoboa trust me...SAMIA kumtoa labda wamuue kama mwendazake.. otherwise mama tunae mpaka 2030