gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Huyo namsikiliza tangu akiwa mwanaharakati,kabla magu hajamvuta CCM Ili kujenga himaya yakeMsikilize vizuri hii clip
Huyo si ndo alisema hela za mkopo ni za ndani!?
Huyo namsikiliza tangu akiwa mwanaharakati,kabla magu hajamvuta CCM Ili kujenga himaya yakeMsikilize vizuri hii clip
Wapo wengi sana.Halafu kuna mjinga mmoja anajiita eti mwana CCM hata bima ya afya hana
Eeeh bora atupe vipande vipande ivo ivo ili kila siku kuwe kuna kitu cha kutuchangamshaHuyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
Huyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
KAMA UMECHOKA KUMSIKILIZA VUTA SHUKA ULALE
Mzee wa Vieite anadhani wote ni wajinga.Polepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
Sijawahi kuona mtu ana mwenye kiburi kama Samiah. Mama anakiburi na dharau Sana. Mwisho wake utakuwa mbaya. Atakufa kifo kibaya.
Kuweni waelewa nyie wajinga, si kila anaechukizwa na mienendo ya serikali ni chadema, wapo raia wa kila aina ya misimamo na wengine wasiofuata chama chochote pia wapo hata humo CCM hawafurahishwi na hii mienendo ya chama, wanapokosoa ninyi machawa mnapaniki na kuwaona chadema.Ukitaka kuwawin chadema, waunge mkono kwenye jambo lao lolote hata kama uliwahi kuwaumiza, watakuona ni masiha 😂
Nimeipata SS
Na imebidi nitumie VPN ishakua tabu
Ni Kama Mlivyoifanya Kesi Ya Lisu Iwe Series,na Polepole Kaamua awape Season2,tulieni.Unaongelea movie? Bc single movie nao wanapoteza Muda kuandaa filamu eee?
Mm nachotaka n yeye anyooke ashushe yote Kwenye press moja, hapo hujaelewa nn boss
Eh bc hy n series ambazo haziendani mana mpaka sasa cjaona polepole akiongelea Lissu kukamatwaNi Kama Mlivyoifanya Kesi Ya Lisu Iwe Series,na Polepole Kaamua awape Season2,tulieni.
Nimeishia kusoma hapo, hakuna haja ya kuendelea kusoma 😂Kuweni waelewa nyie wajinga
Dah na Kwann mwanaume anakuwa mkuda? 😂 Bc wiki mbili mbele tuu hapo atakuwa anakula burudani ya mechi kurudi 🔥Eeeh bora atupe vipande vipande ivo ivo ili kila siku kuwe kuna kitu cha kutuchangamsha
Mana sasa ivi ligi bado haijaanza at least hawa wanaume uku nyumbani wanakuwa wanamsikiliza pole pole so wanapunguza ule ukuda 🤣🤣
Hapo ndio umefeli kumchukulia ni kama mwanaharakati, nikuulize Polepole tokea umemjua alishawahi kusikia kufanya kazi serikalini? Ila kwenye hii clip kasema ameshafanya kazi serikalini na yule mchepe mchepe ni mwanafunzi wakeHuyo namsikiliza tangu akiwa mwanaharakati,kabla magu hajamvuta CCM Ili kujenga himaya yake
Huyo si ndo alisema hela za mkopo ni za ndani!?