GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM ni dude kubwa sana.. sasa mmepewa Pole Pole alafu munaacha kuendelea na NO REFORM -NO ELECTION
 
bado anasema, hajamaliza, sasa hivi anamlima Chalamila
Yule chalamila ni mbumbu hata muonekano wake tu. Tangu aseme dar hakuna vichaka nilitokea kumdharau sana. Kama yule anaweza kuwa Rc? Basi kuna tatizo sehemu kubwa tuuu
 
Acha uzwazwa,
Kuhusu Lissu hakuna ubaya ukiongelea wewe.
Yeye anaongelea yale anayoyaona ni tatizo kwenye chama chake.
Alafu kwani wewe ni kiziwi?
Mbona kuhusu Lissu alishaongelea alipohojiwa na wanahabari uchwara Nyanda pamoja na Zungu?
Ishu ipo mahakamani.
Huyu Mbaga ni mpumbavu, hakuna wapare wapumbavu huyu kaja na.... auu basi
 
Huyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Hiyo ni haki yake na kikatiba mkuu.

Kama hupendi habari zake si lazima kufuatilia, hujalazimishwa.

Polepole anaonesha ujinga wa Watanzania wengi, ujinga wa CCM, ujinga wa Kikwete, ujinga wa Samia, na ujinga wake yeye mwenyewe.
 
Msitumie nguvu nyingi kumjibu huyu mpumbavu
 
Msitumie nguvu nyingi kumjibu huyu mpumbavu

Usinipangie cha kufanya. Nafanya ninavyotaka mimi si unavyotaka wewe nifanye.

Ukimuita mtu mpumbavu bila kujibu hoja zake hiyo ni ad hominem logical fallacy.

Ama mjibu kwa hoja, ama kaa kimya.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Huyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Ee bhana,afanye haraka kabla hawajamdaka
 
Balozi amejipanga sana utabiri wa Mwalimh Nyerere ndio unaenda kutimia asante sana TAL na JWH mmekuja kubonyeza button ambayo imefunua mambo mengi sana acha tuagize popcorn zakutosha August inaweza kua historia mpya ya nchi
Yoga katuonya kwamba si rahisi...Mie nasema God is able!
 
1754306717919.png
 
Machadema yashamsahau mwenyekiti wao wanadeal na Polepole
 
Back
Top Bottom