Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
Mbona sijakuelewaUshatoka kigamoni mkuu.. Kijana kaiva
Vipi hoja zake zina mashiko?Polepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
Ahsante kwa kunithibitishia hoja yangu. Yaani hapo ndo mnaona umeongea bonge Moja la point, sio?!!!Ww mpumbavu mwenzao umejuaje kama wapumbavu wenzio wanamfuatilia kama wewe humfuatilii?....
Unajitekenya kisha unacheka mwenyewe.
Wakijua ndio inakuaje?Mpaka ukweli wote uwe huko nje. Ili watu wajue mbivu na mbichi. Ukweli unatuweka sote huru, ukiwemo wewe mwenyewe.
Kuwa na amani maana CCM kwa CCM. Sio CCM na CDM. Na mambo ya inteligensia
Huoni kwamba yeye ndio mhuniHalafu Polepole anaunguruma lkn wahuni wanaendelea na mchakato kama kawaida
Mhuni huwa anaongea mambo ya kihuni, lkn Polepole anaongea ya kizalendoHuoni kwamba yeye ndio mhuni
Yuko nchini kweli huyu jamaa?? Au ukimbiziniametumia dakika 84, kama viongozi wakiendelea kukaa kimya ataongeza nguvu, anataka mchakato wa CHAMA uanze upya, pili, ABOMOE chama akisuke upya, anadai CCM kuna wana mtandao wanakula kote kote...
Mambo ya kizalendo ni yapi hayo anayoongea Slowslow?Mhuni huwa anaongea mambo ya kihuni, lkn Polepole anaongea ya kizalendo
Asubiri hao high level wake watakapomruka kwa mbaali ndiyo atajua kuicheza ngoma vizuriAnasema hii game aliyoamua kuicheza (yeye Polepole), ni high level na anajua kuicheza.....
seems yuko well prepared, asingeweza kumpa Rais (Mwenyekiti wa CCM) ultimatumAsubiri hao high level wake watakapomruka kwa mbaali ndiyo atajua kuicheza ngoma vizuri
Shirikisha ubongoPolepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
inawezekana kweli ana back up nzuri, sisi yetu macho tuseems yuko well prepared, asingeweza kumpa Rais (Mwenyekiti wa CCM) ultimatum
Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
Pole pole katuonesha ujasiri katka hili kavaa mabomu km yote. Hii vita anaenda kushinda.Huwezi shindana na dola,hakujifunza kwa lowasa!!
Hivi hivi mdogo mdogo hadi waanze kuharisha ndani ya ma vieite yao.Aende hvhv mdogomdogo au sio
Acha uzwazwa,Eh bc hy n series ambazo haziendani mana mpaka sasa cjaona polepole akiongelea Lissu kukamatwa