G
guest-1790917349
Guest
Nimeipata SSUmeanza mwanzo?
Na imebidi nitumie VPN ishakua tabu
Nimeipata SSUmeanza mwanzo?
Kwa 25 years ndani.. na ile kupewa ubalozi ni DG kwa hadhi isipokuwa nafasi ni moja.. ila ni deep rootsBado ujamuelewa ni nani hadi sasa hivi? Hata wana ccm wale OYA OYA wanamjua huyu ni mhamiaji ukimsikiliza kwenye hii clip, alikuwa anafanya kazi behind the scene, akiwa na vyeo vikubwa.
Huyu jamaa kwa aliyoyaongea leo inaonekana ana mambo mengi sana ya siri anayafahamu ndani ya hii inchi na chamani kwake ccm....
uvumilivu hana, ni rahisi kuondolewa mchezoni.
Makomando kutoks Cuba watakuja 😎😎.Amesema pia wakikaza shingo, nao wayakuja kivingine. Happy sijui mpango ni gani🤔
MmhmYupo Tanzania , analindwa na watu wazito waliotoa Amri ya Kuachiliwa Kwa dad yake mara Moja na kusitisha zoezi la kwenda Kwa Mama yake ndio Sababu Hawajaenda nyumban Kwa Mama yake Polepole.
Kabisa mkuu.Kwa 25 years ndani.. na ile kupewa ubalozi ni DG kwa hadhi isipokuwa nafasi ni moja.. ila ni deep roots
Kama inachosha pumzika kwani umeambiwa usikilize yote,mbona unawashwa lakiniHuyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Kama umemsikiliza vizuri hadi huyo Lowassa kafanyiwa vetting na yeye(wenzake)hadi wakampata JPM.Huwezi shindana na dola,hakujifunza kwa lowasa!!
Pole Pole ni mkongwe, huyo wa kisarawe huenda ni moja ya wanafunzi wake, Chalamila kaonesha kiwango cha upumbacuu wake... na huenda Pole Pole anajua ya ofisini kwa Chalamila kuliko yeye. Mwenyewe pole pole huo umeishakuwa mfumo ndani ya Idara.. 25 years sio midogo.. hapo ana network yake pana.. vita ndani ya Idara sasa hivi ni network A vc B vc C.. chalamila atulie ligi ya wazee hiyo ahweziKabisa mkuu.
Nimemuelewa pale alivyompiga spana RC wa Dar, kwamba Pole pole mafahili yake yapo kwa yule mwandamizi aliyepelekwa kuwa dc kule kisarawe ila Polepole si mtu mdogo hata huyo mwandamizi, mwandamizi wake ni Polepole.
Na kuna sehemu kasema yeye ni usalama wa Taifa kama sijakosea.
Eti Chalamila anamwambia rais, mafaili ya Polepole yapo kwa mzee wa mchepe mchepe hajui kabla mzee wa mchepe mchepe kwenda jumba jeupe alikuwa anapewa nondo( mwanafunzi)na Polepole pale Lumumba.Pole Pole ni mkongwe, huyo wa kisarawe huenda ni moja ya wanafunzi wake, Chalamila kaonesha kiwango cha upumbacuu wake... na huenda Pole Pole anajua ya ofisini kwa Chalamila kuliko yeye. Mwenyewe pole pole huo umeishakuwa mfumo ndani ya Idara.. 25 years sio midogo.. hapo ana network yake pana.. vita ndani ya Idara sasa hivi ni network A vc B vc C.. chalamila atulie ligi ya wazee hiyo ahwezi
Lowassa hakuwahi shindana na dola.Huwezi shindana na dola,hakujifunza kwa lowasa!!
Kuongea kwingi, kumbe anaongea mashudu, Profile ya pole pole nzito. Kijana wa Kisarawe hana uwezo wa kui handleEti Chalamila anamwambia rais, mafaili ya Polepole yapo kwa mzee wa mchepe mchepe hajui kabla mzee wa mchepe mchepe kwenda jumba jeupe alikuwa anapewa nondo( mwanafunzi)na Polepole pale Lumumba.
Hii vita ni watu wa idara kweli kabisa mkuu.
Oyaoya huyo, hamna kituKama umemsikiliza vizuri hadi huyo Lowassa kafanyiwa vetting na yeye(wenzake)hadi wakampata JPM.
Ukimuangalia juu juu, utamuona kama wakawaida, wengi wanaccm oya oya wanamuona kama mhamiaji ila huyo zaidi ya hao oya oya.
Au siyo!!Lowassa hakuwahi shindana na dola.
Lowassa alishindana na wahuni ambao ndio hao anaowaongelea HP.
Msikilize vizuri hii clipOyaoya huyo, hamna kitu