GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Balozi amejipanga sana utabiri wa Mwalimh Nyerere ndio unaenda kutimia asante sana TAL na JWH mmekuja kubonyeza button ambayo imefunua mambo mengi sana acha tuagize popcorn zakutosha August inaweza kua historia mpya ya nchi
Utabiri gn huo mkuu
 
Akahsughulike nanmachinga Mwenge bwana balozi dozi zake zamedani akili ndogo huwezi kuelewa anavyosukuma kete zake ukigusa unazama mazima
😁 Chamila kavamia kambi ya commando... kamstahi, kwa lugha ingine kamuambia kijana nimekuacha mbali sanaaa, kwa kila kitu kwenye mambo ya mifumo na siasa.. na akamuambia nomefanya kazi nyingi sana na usalama.. maana yake Chalama is junior tuu
 
Kuna mtu ameambiwa akashughulikie soko la machinga pale Mwenge hizo ndio home work zake.

HP hii ligi inaonekana kajipanga nayo na maadui zake anawajua vizuri.

ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
Kaisha anza deal na mzee wa msoga sasa.. live bila chenga 😅😅... Jamaa kajipanga at the maximum.. aisee..
 
😁 Chamila kavamia kambi ya commando... kamstahi, kwa lugha ingine kamuambia kijana nimekuacha mbali sanaaa, kwa kila kitu kwenye mambo ya mifumo na siasa.. na akamuambia nomefanya kazi nyingi sana na usalama.. maana yake Chalama is junior tuu
Anaongelea kamati ya ulinzi ya Mkoa mwenzie anaongelea kamati ya ulinzi ya Nchi na chama hajui kama Kibiongo anaesema ana ma file ndio vijana wa Pole Pole wenyewe
 
Hawawezi mana huyu mkali anajua anachofanya amejipanga hata location zake anaoenkana alichukua matukio kabla hajaamza baalaa hivyo anaachia tu kuwavuruga hii ngoma sio nyepesi kama kina Mwashamba na machawa wenzie wanavyoona ni zaidi ya waonavyo wao hawaiwezi kabisa
Yupo Tanzania , analindwa na watu wazito waliotoa Amri ya Kuachiliwa Kwa dad yake mara Moja na kusitisha zoezi la kwenda Kwa Mama yake ndio Sababu Hawajaenda nyumban Kwa Mama yake Polepole.
 
Anaongelea kamati ya ulinzi ya Mkoa mwenzie anaongelea kamati ya ulinzi ya Nchi na chama hajui kama Kibiongo anaesema ana ma file ndio vijana wa Pole Pole wenyewe
😅😅 kazoe kuongea ongea hovyo, Pole Pole anajua yaliyo kwenye ofisi yake kuliko yeye anavyo jua.. ame mstahi tu..
 
Yupo Tanzania , analindwa na watu wazito waliotoa Amri ya Kuachiliwa Kwa dad yake mara Moja na kusitisha zoezi la kwenda Kwa Mama yake ndio Sababu Hawajaenda nyumban Kwa Mama yake Polepole.
Mzee wa msoga leo hapati usingizi, paka kaisha valishwa kengere.. Anafatwa sasa ni zamu yale .. Pole pole na deep state wameamua issue iwe issues
 
Back
Top Bottom