Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
- Thread starter
- #21
hahahahaa Polepole yeye anataka viongozi wakuu wajitokeze tu wamjibu na sio masheikh, maaskofu au akina chalamila, yeye ana watu wake anaowataka.Pole Pole anakabia juu kabisa vegetables viungo na beki zimekatika kabisa wanashindwa kuzuia mashambulizi 🤣🤣🤣