Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Aliamini Magu atapiga mpk 2035 na yeye kuendelea kula bila jasho, mambo zimebadilika ghafla yupo mbali na jikoKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshikia mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Wakiwa madarakani huwa ni wapumbavu sn huwa wanasahau kama madaraka ni ya kupitaccm tulieni dawa iwaingie. hadi uje ufike Mwezi wa nane,
Mtatema nyongo sana
Wewe ni Mjinga mkubwa sana. Magufuli alikuwa tayari ni Rais anayetokana na Uchaguzi uchwara. Huyu wa sasa anatokana na Kifo cha Rais. Nani amemchagua kupeperusha bendera ya CCM? Hata hizo kura za Ndio au Hapana hazitaki anajipitisha kwa maneno.Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshikia mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Kwa kutiki jina la Rais mwaka 2015 tulitiki na Makamu pia na Mbunge pamoja na Diwani. Kwa hiyo tulimchaguaWewe ni Mjinga mkubwa sana. Magufuli alikuwa tayari ni Rais anayetokana na Uchaguzi uchwara. Huyu wa sasa anatokana na Kifo cha Rais. Nani amemchagua kupeperusha bendera ya CCM? Hata hizo kura za Ndio au Hapana hazitaki anajipitisha kwa maneno.
Tumia akili kidogo, ulim tick kuwa nani?,Raisi au makamu wa Raisi?Kwa kutiki jina la Rais mwaka 2015 tulitiki na Makamu pia na Mbunge pamoja na Diwani. Kwa hiyo tulimchagua
Fomu moja ni utaratibu wa CCM sio wa Polepole pale ambapo Rais anagombea muhula wa pili.Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Awamu ya tano mwisho 2025. Mnaompinga plpl wengi wenu hamnazoKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Huwajui wajumbe nnFomu moja ni utaratibu wa CCM sio wa Polepole pale ambapo Rais anagombea muhula wa pili.
Kwenye muhula wa pili wa Magufuli kaumalizia Samia.
Samia ndio anaanza muhula wake alitakiwa kikatiba ya CCM achukue fomu na wagombea wengine.
MaCCM wengi ubongo hawanaWewe ni Mjinga mkubwa sana. Magufuli alikuwa tayari ni Rais anayetokana na Uchaguzi uchwara. Huyu wa sasa anatokana na Kifo cha Rais. Nani amemchagua kupeperusha bendera ya CCM? Hata hizo kura za Ndio au Hapana hazitaki anajipitisha kwa maneno.
Kule ndani ya CCM hakumfai Polepole. Aje tu achukue fomu ACT akagombee urais bila kelele.Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Hakuna kitu kama hicho , Lazima yeye mwenyewe wingie kwenye chujioKwa kutiki jina la Rais mwaka 2015 tulitiki na Makamu pia na Mbunge pamoja na Diwani. Kwa hiyo tulimchagua
Ni haki yake kuongea hivyo maana yupo kivulini ila akumbuke tawala za kiafrika ni za visasi asubirie kwenda segerea baada ya huyu kupita utawala wake asijisahau kabisa.
Balozi ana njaa gani? Huyo hana shida na cheo ndo maana umemuona hapo na maamzi yake. Wewe njaa iko kwenye akili yako ndo maana unamuona Polepole mjinga. Sio kila mtu anawaza ujinga kama vijana wengi wa Mbogamboga mlivyoHuwezi kumwamini mtu mnafiki kwenye jambo lolote.
Huyu mtu alivyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba alikuwa na misimamo sana.
Ambayo alikuja kuikana alipoteuliwa katibu mwenezi na kuanza kuitetea katiba yenye mapungufu mengi.
Ndie aliyetoa form moja ya mgombea uraisi na wenzie kipindi kile.
Sasa ameona hapewi kipaumbele na mkate wake kuguswa ndio anaanza mbilinge zake
Ni wa kupuuzwa, angesema Lisu angeeleweka maana sifa ya Mwanaume ni misimamo na sio kuwa Malaya wa kisiasa