6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,952
- 8,807
Polepole anatumika kuwatoa watu kwenye reli kuhusu kesi uchwara na ya mchongo ya Lisu.Aliamini Magu atapiga mpk 2035 na yeye kuendelea kula bila jasho, mambo zimebadilika ghafla yupo mbali na jiko
Walianza na Gwajima, watu wakapuuz. Wakaja na wale sijui G55, watu wakapuuza. Wakaja na waziri mkuu kukataa ubunge ili kumjadili, watu wakapuuza. Juzi kati wakaja na Gambo kukatwa ubunge, watu wakapuuza.
Sasa limetengenezwa hili la Polepole. Wakiona limepuuzwa na hili, litasukwa lingine la zaidi ya hili. Lakini nina imani na hilo watu watalipuuza pia.
Sio rahisi Polepole kuuwacha ugali kindezi ndezi hivi. There is something selfish behind it.