Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM, kuna nafasi ukikaa unakutana na bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini, wengine wameshika makali. Kupata mgao wa milioni 50, 70, 100 bila msingi wowote ni jambo la kawaida tu
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalalamikia maamuzi ya Samia na kundi lake kujichukulia nafasi zote. Lakini huyu huyu Polepole amesahau kauli yake ya mwaka 2020 aliposema fomu ya urais ndani ya CCM ni moja tu ya Magufuli
Kama mwaka 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ikatoka moja tu, kwa nini leo 2025 uone kama katiba imevunjwa?
CCM ni yenu nyie, endeleeni kufanya mtakavyo. Kiwembe mlichotumia kuwachanja wengine 2020, ndicho kinachowachanja sasa 2025
Soma pia:
Kingazija
- Ni utamaduni wao rais anayeanza miaka mitano ya kwanza huwa hapambanishwi na mwingine ili akamilishe miaka kumi endapo wananchi watampa ridhaa kwenye kura.
2. Ni kweli alitangaza fomu ya uraisi ni moja kukumbushia utamaduni wao lakini pia mchukuaji wa fomu hiyo alionekana akienda kuchukua
3. Wa sasa hakuna sehemu yoyote aliyoonekana akienda kuchukua fomu ya kugombea urais kwa hiyo haijulikani kama ameshachukua, akajaza na kurejesha maana hakuna uthibitisho huo
4. Fomu ya urais inanunuliwa sio chini ya shilingi milioni moja, wadau wa alieyepo wamejitokeza kumlipia fomu hiyo ambayo haijachukuliwa hadi leo ukizingatia utaratibu ulivunjwa na kuwekwa hadharani kabla ya kipindi chake cha vikao vya chama
5. JPM alikuwa anawasikiliza wananchi pindi anapotembelea mahala huyu hataki kusikia kitu kama hicho akidai wanaleta vurugu na kushughulisha watu wengine kuwasikiliza zaidi yake
6. JPM alikuwa akikosolewa na viongozi wa imani za kiroho na aliitisha kikao na madhehebu mbalimbali akawasikiliza, huyu hataki kukosolewa matendo maovu ya serikali na akisikia anabambika kesi, kushambulia kwa vipigo na kuharibu mali za waumini
7. Huyu anataka kusifiwa sifa za kiungu na mmiliki wa mali zote na hataki kusikia kwamba hakuwajibika kumtumikia mwananchi anayeishi kwenye umasikini uliotopea.
8. Majira yanaonesha kuwa maji na udongo vikikutana na moto na upepo haviwezi kuwa na utengamano wa amani na usalama wa nafsi kwa kuwa moto na upepo hukausha na kuunguza kinyume na maji na udongo vinapoza na kuhifadhi utu.
9.Haki ya kuabudu inabinywa, na maeneo ya ibada ykunajisiwa wakati vikosi vya usalama vinapovamia maeneo haya na kuwanyanyasa waumini kwa silaha, kinyume na katiba na sheria za nchi.
King'eng'e
1. In their culture, the president who begins the first five years is preferred not to be challenged by another, allowing him to complete a ten-year term if the citizens grant him approval in the elections.
2. He indeed announced that the presidential nomination form serves as a reminder of their culture, but the aspirant was seen at the party headquarters collecting the form.
3. Currently, there is no evidence of her going to collect the presidential nomination form, so it is unclear whether she has taken it, filled it out, and returned it or not, as there is no substantial proof for that.
4. The presidential form is purchased for no less than one million shillings; stakeholders of the current president have come forward to pay for that form, which has not been collected to date, considering that the procedure was violated and made public before the central committee meeting period.
5. JPM used to listen to the citizens when he visited places; this one does not want to hear anything like that, claiming they are causing disturbances and engaging others to listen to them more than her.
6. JPM was criticized by spiritual leaders and called a meeting with various denominations to listen to them; this one does not want to be criticized for the government's wrongful actions, and when she hears it, she fabricates cases, cracks down, and destroys the religious property without teh claim of right.
7. The sitting president wants to be praised with divine attributes, glorifying herself as the owner of all wealth, and does not want to hear that she is not accountable.
8. The seasons show that water and soil, when they encounter fire and wind, cannot have a common harmony ground on peace and security of the soul because fire and wind tend to aggravate drought, dry and instigate burns, contrary to water and soil, which cool the desperate creatures and preserve humanity dignity.
9. The right to practice one's faith is infringed upon, and places of worship are profaned when security forces intrude upon these sites and intimidate worshippers with firearms, in violation of the constitution and the laws of the nation.