Polepole anatumika kuwatoa watu kwenye reli kuhusu kesi uchwara na ya mchongo ya Lisu.Aliamini Magu atapiga mpk 2035 na yeye kuendelea kula bila jasho, mambo zimebadilika ghafla yupo mbali na jiko
Jamaa tapeli tuKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Hivi unajua chakula Cha mwanasiasa ni nini?Balozi ana njaa gani? Huyo hana shida na cheo ndo maana umemuona hapo na maamzi yake. Wewe njaa iko kwenye akili yako ndo maana unamuona Polepole mjinga. Sio kila mtu anawaza ujinga kama vijana wengi wa Mbogamboga mlivyo
Anatumia huku akiandika maneno ya kutweza serkali iliyoko Madarakani? Yaani unaikashifu na kutoa tuhuma kwa serkali lakini Wewe kichwa Nazi unaona anatumika. Wewe uwezo wako wa kufikiria ni mdogo ndo maana huwezi kuona ubaya kwa barua hiyo kwa Mkuu wa Serkali. Shutuma nzito na zinatakiwa kujkibiwa na mtu mwenye akili kubwa sio kama wewe.Polepole anatumika kuwatoa watu kwenye reli kuhusu kesi uchwara na ya mchongo ya Lisu.
Walianza na Gwajima, watu wakapuuz. Wakaja na wale sijui G55, watu wakapuuza. Wakaja na waziri mkuu kukataa ubunge ili kumjadili, watu wakapuuza. Juzi kati wakaja na Gambo kukatwa ubunge, watu wakapuuza.
Sasa limetengenezwa hili la Polepole. Wakiona limepuuzwa na hili, litasukwa lingine la zaidi ya hili. Lakini nina imani na hilo watu watalipuuza pia.
Sio rahisi Polepole kuuwacha ugali kindezi ndezi hivi. There is something selfish behind it.
Acha wafu wazike wafu wao!Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
Utakua ujawai kusoma Katiba bila shaka.Wewe ni Mjinga mkubwa sana. Magufuli alikuwa tayari ni Rais anayetokana na Uchaguzi uchwara. Huyu wa sasa anatokana na Kifo cha Rais. Nani amemchagua kupeperusha bendera ya CCM? Hata hizo kura za Ndio au Hapana hazitaki anajipitisha kwa maneno.
Mkuu ni ufahamu umemrudia, ameamka toka usingiziniHujui siasa, huwajui wanasiasa na hujui kuu yao ni nini?
Huyo ni Malaya wa kisiasa na mnafiki wa kiwango Cha SGR asiyefaa kwa Taifa hili.
Tena wakati anaongea alikuwa anacheka kwa dharau na kiburiKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
kwa hiyo alivyokuwa raisi ndo fomu itolewe moja? kitu ni kilekile tu mkuu kikubwa wewe umefafanua zaidiWewe ni Mjinga mkubwa sana. Magufuli alikuwa tayari ni Rais anayetokana na Uchaguzi uchwara. Huyu wa sasa anatokana na Kifo cha Rais. Nani amemchagua kupeperusha bendera ya CCM? Hata hizo kura za Ndio au Hapana hazitaki anajipitisha kwa maneno.
Mlaumu mamako kwa huo upumbavu wako. Kasome katiba, 2020 Magu na Samia ndio walitafuta kura kwa pamoja, baada ya ushindi Samia alikuwa Rais wa akiba, na ndio yakatokea mazingira yaliyoandaliwa na katiba yetu, unabwabwaja nini sasa we kibwengo? Uchaguzi wa mwaka huu anagombea kiti cha urais pembeni yupo Dr. Nchimbi, hesabu mmeshindwe darasani ht hili dogo ushindwe kulielewa, you must be crazy. Samia tunaye mpk 2030, Oktoba tunatiki na vichinjio tunavyoWewe ni Mjinga mkubwa sana. Magufuli alikuwa tayari ni Rais anayetokana na Uchaguzi uchwara. Huyu wa sasa anatokana na Kifo cha Rais. Nani amemchagua kupeperusha bendera ya CCM? Hata hizo kura za Ndio au Hapana hazitaki anajipitisha kwa maneno.
We ngedere uwe na adabu usimchukulie Rais wetu km huyo mamako aliyeshindwa kukulea ipasavyo
Mwisho wa siku ukweli unabaki palepale kuwa Polepole ni tapeli tupuPolepole anatumika kuwatoa watu kwenye reli kuhusu kesi uchwara na ya mchongo ya Lisu.
Walianza na Gwajima, watu wakapuuz. Wakaja na wale sijui G55, watu wakapuuza. Wakaja na waziri mkuu kukataa ubunge ili kumjadili, watu wakapuuza. Juzi kati wakaja na Gambo kukatwa ubunge, watu wakapuuza.
Sasa limetengenezwa hili la Polepole. Wakiona limepuuzwa na hili, litasukwa lingine la zaidi ya hili. Lakini nina imani na hilo watu watalipuuza pia.
Sio rahisi Polepole kuuwacha ugali kindezi ndezi hivi. There is something selfish behind it.
October 2025 mama hatoboiKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Watanzania jamii yako wanaowaza ulaji tu kwenye kila jambo ni kirusi hatari! Sio kila anaefanya jambo kwenye siasa ni kwa ajili ya tumbo we maandazi! Kwani alivokua balozi alikua anajitolea? Washenzi ni wale watu wawili na kikundi chao wameteka ccm na dola hakuna anaefurukuta halafu kuna wajinga kama wewe mnawaza ulaji wakati nchi imetekwa na kikundi cha watu wachache wanafanya wanachojiskia! Mtumiage akili kufikiri zaidi ya tumbo na choo mwanadamu anavingi anavyovitafuta! Unaona raha kutumia jina na picha ya Netanyahu unadhani nae angekua anawaza ulaji kama wew ungemsikia?Aliamini Magu atapiga mpk 2035 na yeye kuendelea kula bila jasho, mambo zimebadilika ghafla yupo mbali na jiko
Yaani hapo bado hujajibu tafakuri na hoja za Polepole na huna akili ya kujibuKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Wewe ulimchagua Lowassa na Mwalimu kaa pembeni kwa vile mlishindwa uchaguziTumia akili kidogo, ulim tick kuwa nani?,Raisi au makamu wa Raisi?
Kwanini sasa waliweka picha ya Makamu kwenye fomu ya kupigia kura?Hakuna kitu kama hicho , Lazima yeye mwenyewe wingie kwenye chujio
Weka kifungu cha katiba kuthibitisha hilo
Polepole na mfumo mzima wa CCM na serikali yao wote matapeli tuMwisho wa siku ukweli unabaki palepale kuwa Polepole ni tapeli tupu