Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
-
- #41
Thread 'Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu' Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuuOctober 2025 mama hatoboi
Hujaandika Raise atakaeshinda ni nani!!funguka unabii haujatimia!!?Thread 'Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu' Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu
Utatimia , subiri mudaHujaandika Raise atakaeshinda ni nani!!funguka unabii haujatimia!!?
Balozi wa nyumba kumi, Baiskeli yako umepataMlaumu mamako kwa huo upumbavu wako. Kasome katiba, 2020 Magu na Samia ndio walitafuta kura kwa pamoja, baada ya ushindi Samia alikuwa Rais wa akiba, na ndio yakatokea mazingira yaliyoandaliwa na katiba yetu, unabwabwaja nini sasa we kibwengo? Uchaguzi wa mwaka huu anagombea kiti cha urais pembeni yupo Dr. Nchimbi, hesabu mmeshindwe darasani ht hili dogo ushindwe kulielewa, you must be crazy. Samia tunaye mpk 2030, Oktoba tunatiki na vichinjio tunavyo
POLEPOLE ameleta Abracadabra ya HARAKAHARAKAKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Uzalendo na ukweli wa Polepole uliishia kwenye kukusanya maoni ya katiba mpya.Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
kama atamtikisa huyu mama, hata kama alifanya kosa la kuua, asamehewe, tuungane kuikomboa Tanganyika.Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Unayo hasira ya kufa mtu...kwa hizi hasira chukueni hatua basi!!Wewe ni Mjinga mkubwa sana. Magufuli alikuwa tayari ni Rais anayetokana na Uchaguzi uchwara. Huyu wa sasa anatokana na Kifo cha Rais. Nani amemchagua kupeperusha bendera ya CCM? Hata hizo kura za Ndio au Hapana hazitaki anajipitisha kwa maneno.
Una hoja ya maana kabisa yaani, lakini angalau huyo Magufuli hiyo fomu 1 alichukua, sasa Tuonyeshe Fomu ya CCM aliyochukua SamiaKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Basi ni vizuri chama kikaanza mchakato WA kutafuta mgombea
Sure ni majangili tupuPolepole na mfumo mzima wa CCM na serikali yao wote matapeli tu
Mbona umepanic dada angu?Watanzania jamii yako wanaowaza ulaji tu kwenye kila jambo ni kirusi hatari! Sio kila anaefanya jambo kwenye siasa ni kwa ajili ya tumbo we maandazi! Kwani alivokua balozi alikua anajitolea? Washenzi ni wale watu wawili na kikundi chao wameteka ccm na dola hakuna anaefurukuta halafu kuna wajinga kama wewe mnawaza ulaji wakati nchi imetekwa na kikundi cha watu wachache wanafanya wanachojiskia! Mtumiage akili kufikiri zaidi ya tumbo na choo mwanadamu anavingi anavyovitafuta! Unaona raha kutumia jina na picha ya Netanyahu unadhani nae angekua anawaza ulaji kama wew ungemsikia?
Kasome katiba acha kusumbua watu namaswali yakijinga.Tumia akili kidogo, ulim tick kuwa nani?,Raisi au makamu wa Raisi?
Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Nje ya ccm asahau urais.Kule ndani ya CCM hakumfai Polepole. Aje tu achukue fomu ACT akagombee urais bila kelele.
Usichojua ni kwamba hata hiyo fomu hakuijazaKwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM kuna nafasi ukikaa kuna bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini na wengine wameshikia makali.
Kupata mgao wa million 50, 70, 100 from no where ni kawaida tu.
Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalia juu ya uamuzi wa Samia na watu wachache kujipa nafasi zote.
Polepole huyuhuyu amesahau alivyosema 2020 kuwa fomu ya Urais CCM ni moja tu ya Magufuli.
Kama 2020 katiba ya CCM haikuzuia wengine kugombea na fomu ilitoka moja kwanini mwaka huu 2025 uone katiba imevunjwa?
CCM yenu nyie, endeleeni kufanya lolote mtakalo.
Kiwembe ulichotumia kuwachanja watu 2020 kimekuchanja 2025
Yes ndo utaratibuFomu moja ni utaratibu wa CCM sio wa Polepole pale ambapo Rais anagombea muhula wa pili.
Kwenye muhula wa pili wa Magufuli kaumalizia Samia.
Samia ndio anaanza muhula wake alitakiwa kikatiba ya CCM achukue fomu na wagombea wengine.

Nje ya boxPolepole anatumika kuwatoa watu kwenye reli kuhusu kesi uchwara na ya mchongo ya Lisu.
Walianza na Gwajima, watu wakapuuz. Wakaja na wale sijui G55, watu wakapuuza. Wakaja na waziri mkuu kukataa ubunge ili kumjadili, watu wakapuuza. Juzi kati wakaja na Gambo kukatwa ubunge, watu wakapuuza.
Sasa limetengenezwa hili la Polepole. Wakiona limepuuzwa na hili, litasukwa lingine la zaidi ya hili. Lakini nina imani na hilo watu watalipuuza pia.
Sio rahisi Polepole kuuwacha ugali kindezi ndezi hivi. There is something selfish behind it.
Sijapanic shogaangu nakuhurumia ujinga uliokua nao wa kuendekeza njaa wanaume watakuchezea hadi kisimi kiwe kirefu kama mkia! Punguza kupenda dezo utapasuliwa matobo yote hadi ushindwe kuelewa lipi lipi!Mbona umepanic dada angu?