Kumbe siku hizi kawa nabii, naona nabii wa CCM.Katibu Mwenezi wa CCM, Hamfrey Polepole amesema mwisho wa dunia ni mwaka 2042. Akizungumza katika kipindi cha Sunday Worship cha WasafiTV amesema Yesu atarudi mwaka 2035 kulichukua kanisa (wateule wake) na kukaa nao mawinguni kwa miaka 7 hadi mwaka 2042 atakaposhuka kuihukumu dunia...
Kumbe siku hizi kawa nabii, naona nabii wa CCM.
Hakuna ajuaye muda wa la saa mwana wa Adamu atakaporudi, sasa mbona anapingana na hili.
Mungu anisamehe, hata kusikikiza zaidi sijaweza ila nasema siwezi kamwe nikaamini ukweli wowote utakuwepo kutoka kwa polepole, ni unafiki mkubwa!Mheshimiwa Polepole akihubiri kuhusu mwisho wa Dunia na Kurudi Yesu mara ya pili.
Hivi CCM wanatufanya sisi wananchi hatuna akili?Mungu anisamehe, hata kusikikiza zaidi sijaweza ila nasema siwezi kamwe nikaamini ukweli wowote utakuwepo kutoka kwa polepole, ni unafiki mkubwa!
Unataka kusema nini?Huwa nawashangaa Waislam wanaoishabikia ccm
Huwa nashangaa Sana kwa waafrika kukomaa na imani hizi za kujaWaafrica na imani za kuletewa.
Mwisho wake wanafocus zaidi kwenye imani kuliko mambo yanayo matter sasa hivi.
Wooooooo.Huwa nashangaa Sana kwa waafrika kukomaa na imani hizi za kuja