Humphrey Polepole ahubiri kuwa 2042 ndiyo mwisho wa Dunia na kurudi Yesu mara ya pili

Mkuu mbona umechafukwa sana...
Mie napita boss
 
Fanyia mzaha mambo ya siasa nakushauri. Ila usilogwe kufanya mzaha katika mambo ya imani katika Mungu mmoja muumba mbingu na nchi na vitu vyite vilivyomo katika jina ka Yesu.
Nani anayefanya mzaha bwashee?
 
Kama wanajua mwisho wa Dunia ni hiyo 2035 - 2040, sasa hiyo kampeni ya kubadirisha katiba ya Nchi na kumwongezea bwana yule miaka mi10 zaidi inatoka wapi??

Au wanataka aje atawale na Messiah

Hatudanganyiki
 

Mathayo 25:11-13 Baadaye wale wasichana wengine wakaja ...

www.bible.com › BHN
Lakini yeye akawajibu, 'Nawaambieni kweli, siwajui nyinyi.'” Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.
 
Chadema na Lisu tubuni na kuokoka 2042 mnyakuliwe mwende mbinguni mna dhambi nyingi sana wana CCM wengi wetu tumejiandaa kwa unyakuo

Lisu na Chadema Yesu akirudi mtaenda mbinguni au Jehanamu?
 
Chadema wengi hawajamkubali Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yao na kuokoka ikifika 2042 au kabla wataendaJehanamu waokoke haraka sasa hivi wakati wa wokovu ni sasa hujui kesho Corona Chadema mnayokiri kuwa ipo yaweza ondoka na mwanachadema ikaondoka naye kabla 2042 kwenda naye Jehanamu na direct flight ya shetani non stop okokeni leo acheni ubishi
 
Wasisi wa ccm na waislamu wamo pia na wote ndiyo waliounda mfumo huo. Sasa iweje waanze kuuchukia mfumo ambao wameshiriki kuunda?
Chama kishatekwa na mfumo, shituka mkuu
 
Lisu huko ubelgiji kuna makanisa ya walokole wahi kuokoka hadi leo ubelgiji corona wanaumwa zaidi ya watu laki saba wamekufa zaidi ya elfu 20 hujui zamu yako okokeni haraka na familia yako mumpokee Yesu Kama Bwana na mwokozi wa maisha yenu mwende mbinguni
 
Haaaaahaaaaahaa imenibidi nicheke kwanza title ya thread kabla sijasoma aisee,kuna viumbe wanajua kutuvunja mbavu wadau ile mbaya,kutoka kua kada mbaka mc na dj wa kampeni Leo tena ni nabii?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] upumbavu mtupu
 
Kibwetere
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] upumbavu mtupu
Tubu na kuiamini injili na kuokoka wewe na vyama vyote mnatakiwa kutubu na kuiamini injili na kuacha dhambi na kuokoka
 
Kuna Jamaa mmjoa alikuwa anasema "hivi polepole hanaga mashati mengine?"
Mimi nikamuambia anayo ila kayatunza.
 
1......
Kuna Jamaa mmjoa alikuwa anasema "hivi polepole hanaga mashati mengine?"
Mimi nikamuambia anayo ila kayatunza.
Usingalie mambo yapitayo kama mavazi na kadhalika jiulize umeokoka na kuacha dhambi?He Yesu akija leo utaenda mbinguni? Fashion zitapita na tume za uchaguzi zitapita na katiba mpya zitapita jiulize wewe ukimaliza maisha duniani utaenda mbinguni au jehanamu ya milele?
 
Tubu na kuiamini injili na kuokoka wewe na vyama vyote mnatakiwa kutubu na kuiamini injili na kuacha dhambi na kuokoka
Acha ujinga Jaribu kukua hata kidogo Basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…