Biblia inasema, Yesu aliwaambia watu wa enzi zake kwamba hawataonja mquti kabla yeye hajarudi.
Watu wakasema hakuna haja ya kulima wala kupalilia, kujenga wala kufqnya chochote cha muda mrefu, mwisho wa dunia karibu.
Mpaka leo, zaidi ya miaka 2000 imepita.
Yesu hajarudi.
Bado watu wanaamini atarudi tu?
Kama unafikiri natania, hii hapa mistari ya Biblia.
Mathayo 16:27 BHN
Maana, Mwana wa Mtu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika wake, na hapo ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.
28
Kweli nawaambieni, wako wengine papa hapa ambao hawatakufa kabla ya kumwona Mwana wa Mtu akija katika ufalme wake.”
WHAT JESUS SAID
“For the Son of Man is going to come in the glory of His Father with His angels, and will then repay every man according to his deeds.
28
Truly I say to you, there are some of those who are standing here who will not taste death until they see the Son of Man coming in His kingdom.“ (Matthew 16: 27, 28)