Humphrey Polepole ahubiri kuwa 2042 ndiyo mwisho wa Dunia na kurudi Yesu mara ya pili

Alizungumza kama malaika wa nuru lakini ......; anatakiwa kufundishwa kwa usahihi kweli ya Neno la Mungu.
 
Full contradiction na matendo yake
 
Asisahau kumpokea na V8 yake
 
Hawa ndio wabaya sana kwa waislamu , wana chuki sana sana hasa na Zanzibar , utamwona anakuchekea chekea tu
 
Hivi huyu si alikataa chanjo? Au alichoma kisirisiri, maana hawa politician sio watu!

Hata hivyo anajijua kwenye game hii akubariki itakuwa anajiandaa kuanzisha kanisa.
 
Hivi huyu si alikataa chanjo? Au alichoma kisirisiri, maana hawa politician sio watu!

Hata hivyo anajijua kwenye game hii akubariki itakuwa anajiandaa kuanzisha kanisa.
Akashirikiane Na Nabii Tito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…