Wewe unakubaliana naye?Chadema watabisha daaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unakubaliana naye?Chadema watabisha daaaah
Alizungumza kama malaika wa nuru lakini ......; anatakiwa kufundishwa kwa usahihi kweli ya Neno la Mungu.Katibu Mwenezi wa CCM, Hamfrey Polepole amesema mwisho wa dunia ni mwaka 2042. Akizungumza katika kipindi cha Sunday Worship cha WasafiTV amesema Yesu atarudi mwaka 2035 kulichukua kanisa (wateule wake) na kukaa nao mawinguni kwa miaka 7 hadi mwaka 2042 atakaposhuka kuihukumu dunia.
Lakini katika kipindi cha miaka 7 (2035-2042) kutakua na dhiki kuu duniani ambapo nzige wenye vichwa vya simba na mikia ya nge watawatesa waliobaki duniani. Ndicho kipindi ambacho Mpinga Kristo atajiinua na chapa yake ya 666 na kuiteka dunia.
Alipoulizwa mbona Yesu mwenyewe alisema hakuna ajuaye siku wala saa isipokua Mungu mwenyewe (Marko 13:32) amesema ninkweli siku na saa havijulikani lakini majira na mwaka wa Yesu kurudi vinajulikana.
View attachment 1693263
Nini maoni yako?
Katibu Mwenezi wa CCM, Hamfrey Polepole amesema mwisho wa dunia ni mwaka 2042. Akizungumza katika kipindi cha Sunday Worship cha WasafiTV amesema Yesu atarudi mwaka 2035 kulichukua kanisa (wateule wake) na kukaa nao mawinguni kwa miaka 7 hadi mwaka 2042 atakaposhuka kuihukumu dunia.

Hahaaaa we jamaa umetisha! Kwani yesu mwenyewe atatokea kwa wapi anaporudi?Asisahau kumpokea na V8 yake
Labda atatokea Chato, Jiwe alishamjengea AirportHahaaaa we jamaa umetisha! Kwani yesu mwenyewe atatokea kwa wapi anaporudi?
Akashirikiane Na Nabii TitoHivi huyu si alikataa chanjo? Au alichoma kisirisiri, maana hawa politician sio watu!
Hata hivyo anajijua kwenye game hii akubariki itakuwa anajiandaa kuanzisha kanisa.