Humphrey Polepole amepatwa na nini?

msovero

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
863
Reaction score
1,534
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.

Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?

Au ni msongo wa mawazo 'depression'?

Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Itakuwa laana ya kuchumia tumbo na kusahau masilahi ya Watanzania aliyojifanya kusimamia hapo mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…