Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kihoro cha kutolewa kwenye vietel kabla ya kupiga ,alikuwa hajajipanga sasa ana njaa kali anajifanya mzalendo 🤣🤣🤣🤣Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.