Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kama alivyo Bashiru basi na Polepole hawana tofauti.Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.