Kama alivyo Bashiru basi na Polepole hawana tofauti.Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
Wacha ajipige kamba maana baada ya kunyang'anywa ile viii eitiii sasa anaamini thamani yake imeshukaView attachment 1906240
Mkiendelea kumuandama atajipiga kamba
Ukitilia maanani kuwa naye anatokea NgwashimbaHakutegemea mwendazake angeenda zake, waliahidiwa vingi sana na mwendazake hawa
Polepole hiyo kawaida yake mbona kuna clip nyingi tu za miaka ya nyuma tangu enzi za JPM akicheza mziki , ni mtu anaye penda kucheza wala msimuanzishie mjadala kwa hili, anamadhaifu yake lakini kwa hili nitakuwa mkweli.Kwa kweli ndo maana watu husema Akili yangu haipo sawa.
Yaani mimi namuona @HPolepole yupo sawa kabisa.
Kujipa furaha huulizi mtuTangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
Anapuuzia sana kumeza ARV zakeTangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.