Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kihoro cha kutolewa kwenye vietel kabla ya kupiga ,alikuwa hajajipanga sasa ana njaa kali anajifanya mzalendo 🤣🤣🤣🤣Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
Kweli. Inatumiw sana na watu wenye msongo wa mawazo kuaminisha watu kuwa mambo yapo sawa. Tundu Lissu na Lema pia wanaitumia sana mbinu hii.Ni depression na maumivu ya moyo
Anafanya hivyo ili watu wamuone yupo okey
Kunyang'anywa li V EIGHTY siyo mchezo.Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
Amepoteza dira baada ya ndoto zake kutokomea asaidiwe asijekuwa mwehu!Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
Kwani yeye ni nani? Hata akifa sawa tu.Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
Muulize chenji ya kununulia madiwani wa cdm imebakia ngapi kwenye account yake?Polepole sio mchumia tumbo ni mtu anaipenda nchi yake