Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
 
Ndio mfefikia kubaguana kwa kiwango hicho🤔.Ningekuwa mr. Slow ningekukatia rufaa.
 
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people

Mnaishia kujadili watu ambao maisha yao NI mafupi ni Kama mvuke...kwa hiyo akikata Moto ndo na maada zake zinakata au mnaanza kujadili kaacha nyumba ya aina gani..kweli wabongo wambea sana.endelea kujaza mambo moyoni ipo siku utaona madhara yake.unashindwa kurelax weekend
 
#kataawahuni
Wahuni ni wote waliohujumu mchakato was katiba mpya na walioshiriki kutunga zile sheria za miswaada ya hati za dharura lengo likiwa kuhujumu haki za raia. Akiwepo na mr. Slow
 
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people

Mnaishia kujadili watu ambao maisha yao NI mafupi ni Kama mvuke...kwa hiyo akikata Moto ndo na maada zake zinakata au mnaanza kujadili kaacha nyumba ya aina gani..kweli wabongo wambea sana.endelea kujaza mambo moyoni ipo siku utaona madhara yake.unashindwa kurelax weekend
As long as events affect us we must discuss those who cause the events. Usijifiche kwenye kichaka Cha Great minds.
 
Mzilankende Mnyago

Alimuokota Huko Kama Alivyookota Vichwa Vya Treni Bandarini
 
Back
Top Bottom