Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
#kataa wahuni mdani ya CCm
 
Wahuni ni wote waliohujumu mchakato was katiba mpya na walioshiriki kutunga zile sheria za miswaada ya hati za dharura lengo likiwa kuhujumu haki za raia. Akiwepo na mr. Slow
Akiwemo tundu lisu na genge lake walipokimbia nje na kuacha mjadala.
 
Akiwemo tundu lisu na genge lake walipokimbia nje na kuacha mjadala.
Ukweli unaujua ila kwakuwa kujifariji kunakupa ahueni wewe na wote walioshiriki hujuma hizo, endelea kuwafariji
 
Hamna hoja.

Hata sasa wenye mizizi ndani ya CCM wapo kibao tu wanasaga rhumba halafu wameokotwa akina Chongolo wanawabwekea na hamsemi.

Chongolo ana mzizi upi kumzidi William Malecela?
 
Polepole aliokotwa akiwa na mabahasha ya proposal za NGO kwa ajili ya kutapeli wafadhili
 
Polepole aliokotwa akiwa na mabahasha ya proposal za NGO kwa ajili ya kutapeli wafadhili
Ndio sabàbu ya kumfungashia virago sio, ila kwangu kusaliti mchakato wa katiba mpya na kuhujumu haki, sitakaa nikamwelewa
 
Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
Kwani shida nn? Kuuza shule za jumuiya ya wazazi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom