Ndio mfefikia kubaguana kwa kiwango hicho🤔.Ningekuwa mr. Slow ningekukatia rufaa.Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
Uache kuwachoka wanachukua chako mapema(ccm)unamchukia nani kwa mfano anaye mwadabisha kiroboto au anayewaambia nakosa/madhambi yenu?Kila saa polepole polepole huu ujinga Sasa tumewachoka
Kweli kabisa bwashee, 24/7 polepole, huu ujinga sasaKila saa polepole polepole huu ujinga Sasa tumewachoka
Mbona wewe hupumziki au mr. Kiroboto kakulipa umsemee.Kuna watu siasa zitawapa magonjwa mje kusumbua ndugu zenu...huwez kumpuzika na family members
Ni mwanachama wa kambo! Mtoto wa kambo hadeki. Polepole tuu ndo anashangaza katika hili.Kwani sio mwanachama?
Ina maana Vijana wa 80s na 90s waliopo CCM hawapaswi kuwepo?
Dunderhead!!
Ok.subiri comments 100Mbona wewe hupumziki au me. Kiroboto kakulipa umsemee.
Kusaliti mchakato wa katiba mpya ndio laana inayo mwaandama.Ni mwanachama wa kambo! Mtoto wa kambo hadeki. Polepole tuu ndo anashangaza katika hili.
Wahuni ni wote waliohujumu mchakato was katiba mpya na walioshiriki kutunga zile sheria za miswaada ya hati za dharura lengo likiwa kuhujumu haki za raia. Akiwepo na mr. Slow#kataawahuni
As long as events affect us we must discuss those who cause the events. Usijifiche kwenye kichaka Cha Great minds.Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people
Mnaishia kujadili watu ambao maisha yao NI mafupi ni Kama mvuke...kwa hiyo akikata Moto ndo na maada zake zinakata au mnaanza kujadili kaacha nyumba ya aina gani..kweli wabongo wambea sana.endelea kujaza mambo moyoni ipo siku utaona madhara yake.unashindwa kurelax weekend
HaaWahuni ni wote waliohujumu mchakato was katiba mpya na walioshiriki kutunga zile sheria za miswaada ya hati za dharura lengo likiwa kuhujumu haki za raia. Akiwepo na mr. Slow