#kataa wahuni mdani ya CCmChasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
Chasaka - Non Chagga, not from the Chagga origin."Chasaka" hili neno la kichaga maana yake nini?
Akiwemo tundu lisu na genge lake walipokimbia nje na kuacha mjadala.Wahuni ni wote waliohujumu mchakato was katiba mpya na walioshiriki kutunga zile sheria za miswaada ya hati za dharura lengo likiwa kuhujumu haki za raia. Akiwepo na mr. Slow
Ukweli unaujua ila kwakuwa kujifariji kunakupa ahueni wewe na wote walioshiriki hujuma hizo, endelea kuwafarijiAkiwemo tundu lisu na genge lake walipokimbia nje na kuacha mjadala.
Nape alishasema hicho chama kina wenyewe, punguza ubishi.Kwani sio mwanachama?
Ina maana Vijana wa 80s na 90s waliopo CCM ni CHASAKA hawapaswi kuwepo?
Dunderhead!!
Vipi Ngosha?.....je Bashiru pia ni Chasaka..?Kwani sio mwanachama?
Ina maana Vijana wa 80s na 90s waliopo CCM ni CHASAKA hawapaswi kuwepo?
Dunderhead!!
Kwa kuwa chama kilimililishwa Kwa wanachatu, yeye ni kundi specialVipi Ngosha?.....je Bashiru pia ni Chasaka..?
Ndio sabàbu ya kumfungashia virago sio, ila kwangu kusaliti mchakato wa katiba mpya na kuhujumu haki, sitakaa nikamwelewaPolepole aliokotwa akiwa na mabahasha ya proposal za NGO kwa ajili ya kutapeli wafadhili
Kwani shida nn? Kuuza shule za jumuiya ya wazazi au?Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++