Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods nirekebishie ili isomeke "hili"Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha.
Msikilize hapa kwenye video clip hii
Yule ni kilaza hasokua na lolote, mnaangaishwa tu na uchawa na kujipendekeza na kumpa misifa wkt hana uwezo.Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha.
Msikilize hapa kwenye video clip hii
Umeshapanic 😂😂😂Yule ni kilaza hasokua na lolote, mnaangaishwa tu na uchawa na kujipendekeza na kumpa misifa wkt hana uwezo.
Polepole hana cha kukupa kwa kumpa sifa hasizo stahili labda atakupa kazi ya kumsafishishia mabanda yake ya kuku au kazi ya kumuoshea yule mbwa wake.
..overrr
Matusi ya nini sasa kijana. kama huna jibu ruka post na soma zingine. Matusi ya nini? Amefanya kazi nzuri kutafuta mwekezaji, hilo lina uchawa? Unanifahamu lakini mimi mrengo wangu ni upi? narudia matusi ya nini?Yule ni kilaza hasokua na lolote, mnaangaishwa tu na uchawa na kujipendekeza na kumpa misifa wkt hana uwezo.
Polepole hana cha kukupa kwa kumpa sifa hasizo stahili labda atakupa kazi ya kumsafishishia mabanda yake ya kuku au kazi ya kumuoshea yule mbwa wake.
..overrr
Swadakta!Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha.
Msikilize hapa kwenye video clip hii
Msamehe bure, umefika mbali sana mkuu, Retired! usinyoshe kosa kwa kufanya lile lile kosa alotenda mkosaji!Matusi ya nini sasa kijana. kama huna jibu ruka post na soma zingine. Matusi ya nini? Amefanya kazi nzuri kutafuta mwekezaji, hilo lina uchawa? Unanifahamu lakini mimi mrengo wangu ni upi? narudia matusi ya nini?
Nitakuwa na mama yako, mama yako narudia tunaosha mabanda na kuosha mbwa! Baba yako will join us later! tukiwa tunaosha mabanda
wivu umekuzidi mkuu..angalia namna ya kujicontrolYule ni kilaza hasokua na lolote, mnaangaishwa tu na uchawa na kujipendekeza na kumpa misifa wkt hana uwezo.
Polepole hana cha kukupa kwa kumpa sifa hasizo stahili labda atakupa kazi ya kumsafishishia mabanda yake ya kuku au kazi ya kumuoshea yule mbwa wake.
..overrr
haahaahaaa you made my dayMatusi ya nini sasa kijana. kama huna jibu ruka post na soma zingine. Matusi ya nini? Amefanya kazi nzuri kutafuta mwekezaji, hilo lina uchawa? Unanifahamu lakini mimi mrengo wangu ni upi? narudia matusi ya nini?
Nitakuwa na mama yako, mama yako narudia tunaosha mabanda na kuosha mbwa! Baba yako will join us later! tukiwa tunaosha mabanda
Kijana ameniudhi sana. Amenitukana bure kabisa badsl ya kujibu hoja. ngoja nimpe kidonge kesho atakuwa na adabu. Mimi si muumini wa CCM na akina Poleole (polepole et al), totally oposed to ccm and its chawa . Ila kwa hili amelifanya na ni zuri! Why did he attack me? Ametumia ad hominem argument and he is to be confronted in the same way!Msamehe bure, umefika mbali sana mkuu, Retired! usinyoshe kosa kwa kufanya lile lile kosa alotenda mkosaji!
Kijana amenitukana bila kosa nililomfanyiahaahaahaaa you made my day
mapunguani hao.mtu akifanya jambo zuri ni vyema kupongezwa..kudos kwa #PolepoleKijana amenitukana bila kosa nililomfanyia
Toka siku ya kwanza nilipoanza kumsikia huyu Mtu huwa sichoki kumsikiliza na ninamkubali sana utendaji wake.Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha.
Msikilize hapa kwenye video clip hii
Huyo dogo alijiweka mwenyewe kwenye mazingira hayo ya kuchukiwa kwa kuiga siasa za kihayawani za magu.Kina samia walitaka wampoteze polepole kwa chuki binafsi
Ww unaonyesha ndo kilaza sio kwa povu hiloYule ni kilaza hasokua na lolote, mnaangaishwa tu na uchawa na kujipendekeza na kumpa misifa wkt hana uwezo.
Polepole hana cha kukupa kwa kumpa sifa hasizo stahili labda atakupa kazi ya kumsafishishia mabanda yake ya kuku au kazi ya kumuoshea yule mbwa wake.
..overrr
Yule ni kilaza hasokua na lolote, mnaangaishwa tu na uchawa na kujipendekeza na kumpa misifa wkt hana uwezo.
Polepole hana cha kukupa kwa kumpa sifa hasizo stahili labda atakupa kazi ya kumsafishishia mabanda yake ya kuku au kazi ya kumuoshea yule mbwa wake.
..overrr