Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Tueleweshe vizuri ndugu:Kina samia walitaka wampoteze polepole kwa chuki binafsi
1. Wampoteze Kivipi?
2. Kwa sababu gani?
2. Ili iweje?
3. Kwa faida gani?
4. Aliyemteua nani?
5. Anawajibika kwa nani?
6. Anamwakilisha?
7. Kampangia Kituo cha kazi nani?