The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
NI kweli kabisa, sema angekuwa raia wa Korea pia asinge pata vitu vya kuisema serikali yakeIngekuwa raia wa korea angenyongwa hadi kufa. Ila ashukuru tu yeye ni raia wa Tanzania.
ni hao hao kina Msoga gang na Rost-tamuIko siku polepole atawataja waliomshughulikia jiwe
Km jamii tunayoitegemea kujenga nchi ni km ww kamwe hatutatoboa. Sasa huyo nguchiro amekimbia ulaji leo amekuwa mtu wa maana? Vijana wa nchi hii ni aibu na jangaWakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.
Leo tena jamani?Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.
Watamlamba kinyeo bahari ikitulia kisha wamtose baharinichakubanga anajioverrate sana, kuasi mfumo ulioutengeneza halafu unaanza kumwaga ya sirini ni ushamba.