Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

Acheni kuchezewa gemu nyinyi.

Huyo Polepole anahamisha attention yenu ya NO REFORMS NO ELECTION mkija kustuka uchagzi huo hapo mbele yenu.

Tanzania ya leo hakuna mzalendo wa kuacha zaidi ya milion 20 za mipesa kila mwezi ya posho na mshahara ili eti aje atetee utaratibu wa CCM hasa ukizingatia mtu mwenyewe ni corrupt kama huyo Polepole

Acheni kuchezewa akili nyie
 
Another project to watch 😂

Season 1 Episode 5
 
Hii Serikali ya Chapombe Zero brain 🧠 Samia Suluhu Hassan ni ya kishenzi sana. Kadiri inavyozima mtandao ndivyo inavyozidi kuwafundisha wananchi matumizi ya vpn, karne ya 21 hii sio rahisi kuzuia maudhui yanayopatikana mtandaoni. Ila kama washauri wake wakuu ndio hawa wapuuzi kina wassira hakuna jipya walijualo. 0 + 0 =0
 
Acheni kuchezewa gemu nyinyi.

Huyo Polepole anahamisha attention yenu ya NO REFORMS NO ELECTION mkija kustuka uchagzi huo hapo mbele yenu.

Tanzania ya leo hakuna mzalendo wa kuacha zaidi ya milion 20 za mipesa kila mwezi ya posho na mshahara ili eti aje atetee utaratibu wa CCM hasa ukizingatia mtu mwenyewe ni corrupt kama huyo Polepole

Acheni kuchezewa akili nyie
Wajinga hawawezi kutambua hili, waache waendelee kushikwa akili mana mpaka sasa cjaona kubwa lolote aliloongea polepole
 
Network leo itapata taabu sana, speed => 1.0 Mbs from 12:00 noon local, kutakuwa na matengenezo ya mkongo wa Taifa hadi saa 10 jioni leo
 
U
chakubanga anajioverrate sana, kuasi mfumo ulioutengeneza halafu unaanza kumwaga ya sirini ni ushamba.
Ushamba ni wizi ,ufisadi ,kutafuna kodi za umma,majizi kuwa sehemu ya maamuzi ya kuongoza nchi.Ushamba kujaza Viongozi ambao ni watoto wa Viongozi waliopo na ealiowahi kutawala Nchi
 
Ataongea upupu tu hana chochote cha maana na wabongo walivyo mambulula watamsifia eti katoa siri za nchi
 
Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram

==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.

Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?

Mjuze mwenzio.

La mgambo limelia wale wakata switch na washirika wao habari ziwafikie:

Cc: JokaMKuu, Tinde

Tuliyasema haya tokea Jan 2022 huko:

Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini
 
Naam!

Project inakwenda sawa kama ilivyopangwa awali
 
Ingekuwa raia wa korea angenyongwa hadi kufa. Ila ashukuru tu yeye ni raia wa Tanzania.
Lakini Korea Kuna maendeleo makubwa sana Tena sana huwezi kufananisha na Tanzania viongozi wao pamoja na kuwa madikteta ila wanalwta maendeleo makubwa sana angalia uchumi wao
 
Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram

==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.

Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?

Mjuze mwenzio.
Hakuna muhuni kama taratibu huyu alinunua wapinzani na kuwahonga uwaziri atwambie saa8 yupo wapi kwanini waliwazulumu wapinzani 2020 leo anaitwa wengine wahuni akiwa kwenye nafasi wavuvi walifanyiwa uvamizi nakuporwa kupigwa na mpina yeye hakutetea uhuni ule katika kipindi yeye akiwa nafasini serekali haikuwa inajizinishia pesa bila kufata taratibu .mwisho atuqmbie nani alimpiga lisu risasi kwanini ndiotunataka kumsikiliza na kumuona wamaana kweli?
 
Kwa hiyo ilikuwa unashauri aendeele kula??km umeona
Km jamii tunayoitegemea kujenga nchi ni km ww kamwe hatutatoboa. Sasa huyo nguchiro amekimbia ulaji leo amekuwa mtu wa maana? Vijana wa nchi hii ni amna janga
Vijana wa taifa ili na wa ajabu wewe utakuwa ni mzee wa kihuni saana
 
hamjachoka na huu usaniii

mna mda mchafuuuu
Siyo mda ni muda. Sasa wewe kuandika tu hujui. Utamuelewa kweli Polepole? Wewe umsikilize Zuchu akiwa anaongea au Ahmed Ally. Hawa wanasiasa waachie watu wenye akili.
 
Ana episode ngapi huyu mwamba 😄

Ova
 
Back
Top Bottom