Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
... malipo ni hapahapa! ... POLEPOLE NA GENGE LAKE WALIPE BANDO ZETU WALIZOHARIBU BAADA YA UCHAFUZI WA 2020!Ohooo mtandaooo
Ova
... malipo ni hapahapa! ... POLEPOLE NA GENGE LAKE WALIPE BANDO ZETU WALIZOHARIBU BAADA YA UCHAFUZI WA 2020!Ohooo mtandaooo
Ova
😄 kila mtu atafikiwa kwa wakati na muda wake... malipo ni hapahapa! ... POLEPOLE NA GENGE LAKE WALIPE BANDO ZETU WALIZOHARIBU BAADA YA UCHAFUZI WA 2020!
NayeSafi sana
Ni mwendo wa kuwajambisha jambisha tu
Nyumbu wanayumbishwa na Polepole atakavyo.Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.
No,tunafatilia channel ya ze komedi hukoNaye
Nyumbu wanayumbishwa na Polepole atakavyo.
Hapo mshamba ni wewe paka mwenye bundukichakubanga anajioverrate sana, kuasi mfumo ulioutengeneza halafu unaanza kumwaga ya sirini ni ushamba.
Unaumia nini? Tunakubaliana na anachoongea na si matendo yake ya zamani akiwa kwenye utawala. Kila mmoja ana mapumgufu yake lakini anaposimama katika haki tunamuunga mkono bila kujali historia yake. Hakuna mkamilifu wala aliyesahihi 100%Kweli 75% ya Watanganyika ni matahira.
Yaani leo hii Polepole wanamwona hero.
Daah.
CCM itatawala mpaka mwisho wa Dunia kwasababu ya wajinga watanganyika.
Polepole huyuhuyu eti kawa bonge la speaker
Ungeweka hata fact kuutetea hoja yako ili kuelimisha umma ujinga wake na madhaifu yake kwa watu tulioko sasa na kizazi cha baadae lasi hivyo hata wewe waweza kuwa sehemu ya hiyo 75% uliyoitajaKweli 75% ya Watanganyika ni matahira.
Yaani leo hii Polepole wanamwona hero.
Daah.
CCM itatawala mpaka mwisho wa Dunia kwasababu ya wajinga watanganyika.
Polepole huyuhuyu eti kawa bonge la speaker
Acha shobo we mzeeHapo mshamba ni wewe paka mwenye bunduki
Huko ndipo tunapoelekeaIko siku polepole atawataja waliomshughulikia jiwe
Tunamkubali sanaa.Km jamii tunayoitegemea kujenga nchi ni km ww kamwe hatutatoboa. Sasa huyo nguchiro amekimbia ulaji leo amekuwa mtu wa maana? Vijana wa nchi hii ni aibu na janga
Huyu Sasa ameshachuja kweli uchawi upo hata Mzee Mpili watu wanakuwa na hamu ya kumsikiliza kuliko yeyeWakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram