Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Ahahaha 🤣 🤣 🤣Mtu mwenyewe id yako "niko pamoja na samia". Wewe si mwendawazimu tu. Qmmmko
Atulie afanye mambo mengine
Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.
hapa nimesikitika sana --- nchi hii mimi toka kile kifo nilijisemea kama kweli watu wamemuua raisi , basi nchi hii haipo salama.......mipango ya kuua Rais(JPM) kumbe waliijua mapema., Magufuli aliambiwa,...
Uko pamoja na samia na machawa wenzako.Ahahaha 🤣 🤣 🤣
Jua likikupiga lazima uchanganyikiwe.
Na symptom kubwa ya mtu tahira ni mitusi ya nguoni .
Usijali lakini tuko pamoja
Binafsi nilikuwa nampinga JPM na ule ukatili wake wa kuwatesa wapinzani mpaka Lissu kupigwa risasi, ila usiku ile alipotangazwa amefariki machozi yalinitoka. Niliona kabisa nchi inarudi kule kule kwenye upigaji.hapa nimesikitika sana --- nchi hii mimi toka kile kifo nilijisemea kama kweli watu wamemuua raisi , basi nchi hii haipo salama.
nb:nakiri kipini kile nilishangilia
Wengi furaha haikudumu sana , nahisi kwa sababu ulishaanza uvumi, lakini kwa tanzania hii acha twende hivi hivi kwanzaBinafsi nilikuwa nampinga JPM na ule ukatili wake wa kuwatesa wapinzani mpaka Lissu kupigwa risasi, ila usiku ile alipotangazwa amefariki machozi yalinitoka. Niliona kabisa nchi inarudi kule kule kwenye upigaji.
Si ushamba, ndio Mungu karuhusu nature ijirekebishe yenyeweChakubanga anajioverrate sana, kuasi mfumo ulioutengeneza halafu unaanza kumwaga ya sirini ni ushamba.
Wewe unapata taabu gani akituchezea, si ndio ufurahi sasa tunachezewaAcheni kuchezewa gemu nyinyi.
Huyo Polepole anahamisha attention yenu ya NO REFORMS NO ELECTION mkija kustuka uchagzi huo hapo mbele yenu.
Tanzania ya leo hakuna mzalendo wa kuacha zaidi ya milion 20 za mipesa kila mwezi ya posho na mshahara ili eti aje atetee utaratibu wa CCM hasa ukizingatia mtu mwenyewe ni corrupt kama huyo Polepole
Acheni kuchezewa akili nyie
Unaleta jangwa tu maelezo mengiiiii unatupigia kelelePolepole alishirikiana kuzima Bunge live
Aliiba uchaguzi 2020
Walituletea hili Bunge la hovyo kwa kuweka chawa wao - walivyokuja kubadilika kuwa chawa wa SSH wakakasirika.
Walianza kuapisha mawaziri Nyumbani kwa mtu - (huu sio utawala bora)
Ndiyo kipindi wapinzani walinunuliwa kuliko nyakati zote
Baada ya kuona wameiba uchaguzi bila mkakati sahihi - wakalazinisha kutuwekea Covid 19 wale pesa zetu
Matukio ya utekaji yalijaa
Matukio yote haya na yanayofanana na haya hayaongelei - ndiyo kwanza anatueleza JPM alishinda kwa asilimia 80 akinanga ile 58 ya 2015 kwa kuiita ya JK. JPM alikuwa Rais bora kiutendaji na alikonnect na wananchi lakini wengi wanajua asilimi 80 ya kura 2020 ulikuwa ni wizi. Bado anaishi kiapo cha awamu 5...
Pamoja na madhaifu ya JK na wanamtandao - bado walikuwa civilized kuhusu siasa za upinzani. Ndiyo maana wapinzani walikuwa wakishinda maeneo mengi kuliko nyakati zote.. hakuna Rais aliyeruhusu wapinzani kushinda zaidi ya JK.. si kwamba nyakati zingine za marais wengine hawakuwa wakishinda lakini waliibiwa sana... vijana wapinzani wanaomsema JK hawako serious..
Anamkweza Mkapa kuhusu 2015, mbona hamsemi mkapa kuhusu kunwambia Jecha afute uchaguzi wa Zanzibar 2015 (uchaguzi ambao kwa kweli Maalim alishinda???)
Mkuu, Polepole aulizwe maswali yanayomhusu kwanza - mengi yanayotekea sasa ninmsingi wa siasa za kina polepole, Bashiru na wenzao