Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Kwani kaasisi siasa za wana mtandao?chakubanga anajioverrate sana, kuasi mfumo ulioutengeneza halafu unaanza kumwaga ya sirini ni ushamba.
Wajinga hawawezi kutambua hili, waache waendelee kushikwa akili mana mpaka sasa cjaona kubwa lolote aliloongea polepoleAcheni kuchezewa gemu nyinyi.
Huyo Polepole anahamisha attention yenu ya NO REFORMS NO ELECTION mkija kustuka uchagzi huo hapo mbele yenu.
Tanzania ya leo hakuna mzalendo wa kuacha zaidi ya milion 20 za mipesa kila mwezi ya posho na mshahara ili eti aje atetee utaratibu wa CCM hasa ukizingatia mtu mwenyewe ni corrupt kama huyo Polepole
Acheni kuchezewa akili nyie
Wajinga hawawezi kutambua hili, waache waendelee kushikwa akili mana mpaka sasa cjaona kubwa lolote aliloongea polepole
Labda kuhusu Job 🐼Na Leo Tena .....
Kuwe na bomu la maana sasa
Ushamba ni wizi ,ufisadi ,kutafuna kodi za umma,majizi kuwa sehemu ya maamuzi ya kuongoza nchi.Ushamba kujaza Viongozi ambao ni watoto wa Viongozi waliopo na ealiowahi kutawala Nchichakubanga anajioverrate sana, kuasi mfumo ulioutengeneza halafu unaanza kumwaga ya sirini ni ushamba.
Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.
Lakini Korea Kuna maendeleo makubwa sana Tena sana huwezi kufananisha na Tanzania viongozi wao pamoja na kuwa madikteta ila wanalwta maendeleo makubwa sana angalia uchumi waoIngekuwa raia wa korea angenyongwa hadi kufa. Ila ashukuru tu yeye ni raia wa Tanzania.
Hakuna muhuni kama taratibu huyu alinunua wapinzani na kuwahonga uwaziri atwambie saa8 yupo wapi kwanini waliwazulumu wapinzani 2020 leo anaitwa wengine wahuni akiwa kwenye nafasi wavuvi walifanyiwa uvamizi nakuporwa kupigwa na mpina yeye hakutetea uhuni ule katika kipindi yeye akiwa nafasini serekali haikuwa inajizinishia pesa bila kufata taratibu .mwisho atuqmbie nani alimpiga lisu risasi kwanini ndiotunataka kumsikiliza na kumuona wamaana kweli?Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.
Vijana wa taifa ili na wa ajabu wewe utakuwa ni mzee wa kihuni saanaKm jamii tunayoitegemea kujenga nchi ni km ww kamwe hatutatoboa. Sasa huyo nguchiro amekimbia ulaji leo amekuwa mtu wa maana? Vijana wa nchi hii ni amna janga
Siyo mda ni muda. Sasa wewe kuandika tu hujui. Utamuelewa kweli Polepole? Wewe umsikilize Zuchu akiwa anaongea au Ahmed Ally. Hawa wanasiasa waachie watu wenye akili.hamjachoka na huu usaniii
mna mda mchafuuuu
😄Kweli 75% ya Watanganyika ni matahira.
Yaani leo hii Polepole wanamwona hero.
Daah.
CCM itatawala mpaka mwisho wa Dunia kwasababu ya wajinga watanganyika.
Polepole huyuhuyu eti kawa bonge la speaker