Mpigie simu leo live umpe ushauri huo. Ama itisha nawe press umshauri na kumjibu. Unatupigia kelele hapa.chakubanga anajioverrate sana, kuasi mfumo ulioutengeneza halafu unaanza kumwaga ya sirini ni ushamba.
Polepole alishirikiana kuzima Bunge liveUngeweka hata fact kuutetea hoja yako ili kuelimisha umma ujinga wake na madhaifu yake kwa watu tulioko sasa na kizazi cha baadae lasi hivyo hata wewe waweza kuwa sehemu ya hiyo 75% uliyoitaja
Wewe unaweza kukimbia ulaji kama yeye!?Km jamii tunayoitegemea kujenga nchi ni km ww kamwe hatutatoboa. Sasa huyo nguchiro amekimbia ulaji leo amekuwa mtu wa maana? Vijana wa nchi hii ni aibu na janga
Mtu mwenyewe id yako "niko pamoja na samia". Wewe si mwendawazimu tu. QmmmkoKweli 75% ya Watanganyika ni matahira.
Yaani leo hii Polepole wanamwona hero.
Daah.
CCM itatawala mpaka mwisho wa Dunia kwasababu ya wajinga watanganyika.
Polepole huyuhuyu eti kawa bonge la speaker
hapa kuna wanamtandao ambao wamepishana kauli na WANAMTANDAO, kwahiyo wanamtandao wakaona wamtumie chakubanga kama spika kuwaanika WANAMTANDAO. Kwahiyo either way hamna mwenye nia njema na hii nchi siku wakipatana watarudi njia moja wote.Kwani kaasisi siasa za wana mtandao?
Unaota ndoto mbaya sana mkuu, amkaHuyu Sasa ameshachuja kweli uchawi upo hata Mzee Mpili watu wanakuwa na hamu ya kumsikiliza kuliko yeye
Kumbe ndio tabia zenu hizoWatamlamba kinyeo bahari ikitulia kisha wamtose baharini
Lakin Sasa kwa Hali ilivyo hapa nchini hata kama mtu alikua wa hovyo ila amebadilika sababu na yeye amekosa ulaji ama vipi, basi inakua faida kwa watanzania sababu wanakua wanajua ukweli wa masuala yaliyotokea kwaio kufanyiziana kwao ni faida kwa watanzaniaKweli 75% ya Watanganyika ni matahira.
Yaani leo hii Polepole wanamwona hero.
Daah.
CCM itatawala mpaka mwisho wa Dunia kwasababu ya wajinga watanganyika.
Polepole huyuhuyu eti kawa bonge la speaker
Kwaio wewe ni WA maana kutegemea shangingiKm jamii tunayoitegemea kujenga nchi ni km ww kamwe hatutatoboa. Sasa huyo nguchiro amekimbia ulaji leo amekuwa mtu wa maana? Vijana wa nchi hii ni aibu na janga
Anyongwe kwa sababu gani, kusema nchi inaendeshwa na wahuni? Kwani ni uongo?Ingekuwa raia wa korea angenyongwa hadi kufa. Ila ashukuru tu yeye ni raia wa Tanzania.
We unaweza kukimbia ulajiKm jamii tunayoitegemea kujenga nchi ni km ww kamwe hatutatoboa. Sasa huyo nguchiro amekimbia ulaji leo amekuwa mtu wa maana? Vijana wa nchi hii ni aibu na janga
Ndio anakoelekeaIko siku Polepole atawataja waliomshughulikia jiwe
Mbn kama mnaumia sana. Kama hana issue si mumpotezee muwaache wanaotaka kumsikiliza wamsikilize? Kama vile mnahangaika sana etAtaongea upupu tu hana chochote cha maana na wabongo walivyo mambulula watamsifia eti katoa siri za nchi
Haka kajamaa kangekuwa na Kanisa kangepiga sana hela za sadaka kama kipindi kile cha vita ya Gwajima na Makonda kila jumapili watu walifurika kanisani kusikiliza siri za MakondaWakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.
Uhuru wa kujieleza upo kwenye kipimo. Je serekali ya CCM inao uweza wa kuvumilia kusikia yasiyoifurahisha?.Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.
Kwani unadhani asingekuwa kajipanga mpaka sasa angekuwa hawajamnywa supu?Ingekuwa raia wa korea angenyongwa hadi kufa. Ila ashukuru tu yeye ni raia wa Tanzania.
Kwa hiyo yaachwe yaendelee?Polepole alishirikiana kuzima Bunge live
Aliiba uchaguzi 2020
Walituletea hili Bunge la hovyo kwa kuweka chawa wao - walivyokuja kubadilika kuwa chawa wa SSH wakakasirika.
Walianza kuapisha mawaziri Nyumbani kwa mtu - (huu sio utawala bora)
Ndiyo kipindi wapinzani walinunuliwa kuliko nyakati zote
Baada ya kuona wameiba uchaguzi bila mkakati sahihi - wakalazinisha kutuwekea Covid 19 wale pesa zetu
Matukio ya utekaji yalijaa
Matukio yote haya na yanayofanana na haya hayaongelei - ndiyo kwanza anatueleza JPM alishinda kwa asilimia 80 akinanga ile 58 ya 2015 kwa kuiita ya JK. JPM alikuwa Rais bora kiutendaji na alikonnect na wananchi lakini wengi wanajua asilimi 80 ya kura 2020 ulikuwa ni wizi. Bado anaishi kiapo cha awamu 5...
Pamoja na madhaifu ya JK na wanamtandao - bado walikuwa civilized kuhusu siasa za upinzani. Ndiyo maana wapinzani walikuwa wakishinda maeneo mengi kuliko nyakati zote.. hakuna Rais aliyeruhusu wapinzani kushinda zaidi ya JK.. si kwamba nyakati zingine za marais wengine hawakuwa wakishinda lakini waliibiwa sana... vijana wapinzani wanaomsema JK hawako serious..
Anamkweza Mkapa kuhusu 2015, mbona hamsemi mkapa kuhusu kunwambia Jecha afute uchaguzi wa Zanzibar 2015 (uchaguzi ambao kwa kweli Maalim alishinda???)
Mkuu, Polepole aulizwe maswali yanayomhusu kwanza - mengi yanayotekea sasa ninmsingi wa siasa za kina polepole, Bashiru na wenzao
Kweli 75% ya Watanganyika ni matahira.
Yaani leo hii Polepole wanamwona hero.
Daah.
CCM itatawala mpaka mwisho wa Dunia kwasababu ya wajinga watanganyika.
Polepole huyuhuyu eti kawa bonge la speaker
Watu kama hao lazima wamfatilieMbn kama mnaumia sana. Kama hana issue si mumpotezee muwaache wanaotaka kumsikiliza wamsikilize? Kama vile mnahangaika sana etna