Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

HUMPHREY POLEPOLE ARUKA VIUNZI VYA WAKATA SWITCH YUPO HEWANI LIVE MUDA HUU 08/08/2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=lbIMsnfRExI
Amekwenda sambamba na wakati kama wale wenye mafunzo Cuba kuelewa jinsi ya kupiga chenga wale wazima mitandao wa TCRA, na hivyo ameanza mapema mazungumzo yake live / mubashara
 
Leo mtu wa switch kutoka Kimara yupo day-off ya nanenane! Acha VPN zipumzike!
 
......mipango ya kuua Rais(JPM) kumbe waliijua mapema., Magufuli aliambiwa kama kawaida yake akasema "tumtangulize Mungu, mbele",...Kilichofuata wahuni wakafanya yao! Polepole kakatisha hii hbari,
 
......mipango ya kuua Rais(JPM) kumbe waliijua mapema., Magufuli aliambiwa,...
hapa nimesikitika sana --- nchi hii mimi toka kile kifo nilijisemea kama kweli watu wamemuua raisi , basi nchi hii haipo salama.

nb:nakiri kipini kile nilishangilia
 
4U Movement ya Lowassa kumbe bado ipo hai, ila wamebadiri jina tu, Polepole leo ni spana za ukweli,
 
wenye link ya facebook naona instagram hata na vpn bado kamzozo
 
Huyu jamaa kaiva vile vitabu 100 vya bernard kavisoma vyote hajaacha hata kimoja na kaenda kuongezea quba ngoja inyeshe tuone panapovuja.
 
hapa nimesikitika sana --- nchi hii mimi toka kile kifo nilijisemea kama kweli watu wamemuua raisi , basi nchi hii haipo salama.

nb:nakiri kipini kile nilishangilia
Binafsi nilikuwa nampinga JPM na ule ukatili wake wa kuwatesa wapinzani mpaka Lissu kupigwa risasi, ila usiku ile alipotangazwa amefariki machozi yalinitoka. Niliona kabisa nchi inarudi kule kule kwenye upigaji.
 
Wengi furaha haikudumu sana , nahisi kwa sababu ulishaanza uvumi, lakini kwa tanzania hii acha twende hivi hivi kwanza
 
Wewe unapata taabu gani akituchezea, si ndio ufurahi sasa tunachezewa
 
Unaleta jangwa tu maelezo mengiiiii unatupigia kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…