FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwa mjibu wa viongozi na wafuasi wa cdm ,kama lowasa angekuwa fisadi basi angekuwa kashafungwa.na wanakwenda mbali zaidi na kusema aliye na ushaidi kuwa lowasa ni fisadi auweke hadharani au aende mahakamani.kwa sababu hizo,hata chenge,mhongo,ngereja,tibaijuka,rostam,karamagi n.k sio mafisadi pia,kwa sababu nao hawajashitakiwa mpaka sasa.Hivyo ccm hakuna fisadi hata mmoja.
Ina maana miaka yote chadomo walikuwa wanatudanganya?
